Umeiona new york of east africa hiyo?Clean up this mess before you judge
View attachment 1038301
ππππ Kwenye akili yake anafikiri labda kuna kitu hatukijui kuhusu Kenya.Huyo jamaa anataka kutudanganya sisi akili kubwa...Mimi husema hakuna mtu muhongo kama yule wa Kenya.
ππππ Kwenye akili yake anafikiri labda kuna kitu hatukijui kuhusu Kenya.Huyo jamaa anataka kutudanganya sisi akili kubwa...Mimi husema hakuna mtu muhongo kama yule wa Kenya.
ππππ Dah aiseeMm mwenyewe nimecheka sanaπππ
Nchi iliojaa laana πππππ ujinga gani huuu
Lakini sio kwa kucheza filamu ya jinsia moja hadharani au wewe ni mtetezi waoπ³π³Hivi Tanzania hamna mashoga au? Tuache unafiki mkuu
Yakuhusu nini mkuu wanachofanya chumbani mwao? Filamu yenyewe wala hulazimishwi kuitazama. Let's mind our business ama vipi?Lakini sio kwa kucheza filamu ya jinsia moja hadharani au wewe ni mtetezi waoπ³π³
Haiwezekani tufike hatua vizazi vinaharibika mbele ya macho yetu hio ni laana ndugu yangu wala sio jambo la kutetea upuuzi huoYakuhusu nini mkuu wanachofanya chumbani mwao? Filamu yenyewe wala hulazimishwi kuitazama. Let's mind our business ama vipi?
Mpaka yesu arudi
Mwakani mchina akichukua bandari ya mombasa
MombasaZnz hotelsπππππ
View attachment 1038041View attachment 1038042View attachment 1038043
ZnzMombasa
View attachment 1038564
kisumu
View attachment 1038567
Aberdare, Kenya
View attachment 1038570
Giraffe manor kenya
View attachment 1038575
Hizi picha umezirudia sana, chukua hiyo uzito hapo
Hapa ndio mtakubali Nairobi's GDP is bigger that TZ