Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Speed ya kucatch up ni ile ya light, Nairobi should be ashamed because Addis has light rail, Dar has a Bus rapid transit system na tena sasa hivi inaanza kujengwa phase 2, JNIA terminal 3 about to open, sgr mega station, 8 lane highway to kibaha, port expansion, construction of modern bus stations, ubungo interchange halafu unambie nbo kuna project hani maana skyscrapers hazisaidii nairobians kufika kazini on time na kuongeza productivity you need things and people to move efficiently. Dar inajitahidi sana katika hilo just check this out
View attachment 1037840View attachment 1037850View attachment 1037851View attachment 1037852View attachment 1037842View attachment 1037843View attachment 1037844View attachment 1037845View attachment 1037846View attachment 1037847View attachment 1037848
Pamoja na hayo bongo bado sana kwenye miundombinu,mpango miji na majengo ya kisasa yaani hata Accra Ghana iko speed sana,,bongo hakuna hata mipango ya interchange za maana ila kujenga stand za mabus tu
 
Where is the biggest super highway than thika tuoneshe 😆😆😆😆😆

Where is BRT?? Umean this😂😂
View attachment 1037870


Where is light rail au inajengwa ikulu kwa kenyatta🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Commuter rail ndio hiii unamaanish😅😅😅😅😅😅😅
View attachment 1037872

hii ndiyo commuter railway in nairobi,,and is being spread to all parts of nairobi
1551709336152.png

1551709357808.png

1551709397097.png
1551709443258.png


BRT dyo hii inajengwa waiyaki way and not Thika Road, unipate vizuri hapa!!!
1551709660730.png

1551709991100.png

light rail itakuwa inaingia JKIA hivi,,inaanza kujengwa April this year..
1551710134525.png
 
Nadhani by 2025 miji mingi ya Tzn itakua na uwiano mzuri wa ushindani na ya Kenya kwenye miundombinu ya barabara hasa baada ya serikali kuanzisha TARURA lakini tatizo kubwa litaendelea kua ni ujenzi holela wa squatters
Squater kama za kibera?
 
Sasa hiyo barabara itaisaidiaje Kibera! angalau mngeweka hata bus stand kwenye hiyo road. Wakazi wakibera ata chakula kina wapa tabu, then mnajega barabara karibu yao ambayo hawato itumia. Hapo ni kama kuwa chora, ndiyo maana huwa wanarusha vinyesi kwenye magari yanayo katiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuhizi unaropoka Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hayo bongo bado sana kwenye miundombinu,mpango miji na majengo ya kisasa yaani hata Accra Ghana iko speed sana,,bongo hakuna hata mipango ya interchange za maana ila kujenga stand za mabus tu
Because we need stand za mabasi, za nairobi ziko wapi, ni aibu hata kuangalia. Just you wait, two or three years from now Dar itakuwa superb
 
n

Nairobi iko na the following projects that are recently completed,undergoing and up coming. Here is the list of some projects:
1.The biggest super highway than Thika road..JKIA to Limuru...undergoing
2. BRT..will be incorporated in the above highway.
3.light rail..to be completed this year
4.western bypass..undergoing
5.commuter rail network...nearing completion
6.SGR, station & dry port...completed
7.missing link roads..undergoing
bra bra bra...the list list is endless my brother.........
I'm highly interested in the light rail that's about to be "completed". Care to share some photos to prove it? just saying.......
 
I'm highly interested in the light rail that's about to be "completed". Care to share some photos to prove it? just saying.......

Akishare tu we nitag bro, nitavua nguo nitembee uchi kwanzia kko mpaka buguruni😂😂😂😂
 
n

Nairobi iko na the following projects that are recently completed,undergoing and up coming. Here is the list of some projects:
1.The biggest super highway than Thika road..JKIA to Limuru...undergoing
2. BRT..will be incorporated in the above highway.
3.light rail..to be completed this year
4.western bypass..undergoing
5.commuter rail network...nearing completion
6.SGR, station & dry port...completed
7.missing link roads..undergoing
bra bra bra...the list list is endless my brother.........
Usiweke completed projects. Tuwekee projects under construction na speaking of BRT tumeona kwa muda mrefu mkijitahidi kushughulikia hilo suala mpaka juzi hapa eti mka ban matatus from entering the CBD huku hamkuwa na means nyingine za kusafirisha wakenya haya na mibasi ya BRT yenyewe sasa, eh Mungu nisamehe but honestly, Kenya inahitaji dawa, mnavyojiita uchumi wa kati ndo vibasi gani hivi? yaani mlichukua mabasi ya kawaida mkapeleka garage na kupaka rangi ya blue, that's it. Sishangai sana lakini coz for a corrupt nation like yours, this is normal
1835573.jpg
 
Back
Top Bottom