Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Every major project must have renders, hata hiyo brt yenu had renders at some point before it came to actualization. Ama hiyo yenu ilishuka kutoka mbinguni? The render above is Mombasa rd. On the left is Airtel
African headquarters and on the right is Furniture Palace
Leta bidding process announcement, tupe company awarded to do so ikiwa na details za project nzima ya BRT Nairobi sio unatufanya kama hatujielewi kama wewe
 
nawaona wakora wanafanya yao
Clean up this mess before you judge
1551770477266.jpeg
 
...........this comes as a welcome boost for the project that has stalled for more than five months due to lack of funds to buy high-capacity buses and build supporting infrastructure since road markings were done along Thika Superhighway in April. (😂😂😂😂😂😂😂😂)

EU Ambassador to Kenya Stefano Dejak said the grant will be used to develop and install supporting infrastructure within three years. 😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂 Hivyo ndio vitu nilivyokuagiza?
Bidding process is an internal matter that I can't discus. The articles have clearly stated the company awarded the project so sijui mini tena unataka
 
Bidding process is an internal matter that I can't discus. The articles have clearly stated the company awarded the project so sijui mini tena unataka
Kuna tendering announcement ambayo haiwi published kwenye gazeti? Sasa tenderers wataipataje? Article yako haitaji construction company yoyote zaidi ya beggings and promises.
 
Kuna tendering announcement ambayo haiwi published kwenye gazeti? Sasa tenderers wataipataje? Article yako haitaji construction company yoyote zaidi ya beggings and promises.
Huyo jamaa anataka kutudanganya sisi akili kubwa...Mimi husema hakuna mtu muhongo kama yule wa Kenya.
 
Hivi kwenye makutano ya barabara hapo vingunguti wamejenga underpass au overpass..??
kuna kila dalili ya kuwekwa underpass kwa sababu juzi hapa niliona winchi likishusha maboksi flani hivi ya zege makubwa sana kama hamsini kwa idadi
 
yap merkez wanafanya kazi nzuri sana kwa kipande cha vingunguti-kipawa wanatandaza reli na kuweka electric poles kwa kasi ya ajabu sana..

electric thing loading...please wait..
Kazi kubwa ilikuwa ni kujenga tuta, sasa hivi ujenzi utaonekana unakwenda kwa kasi kwa kuwa sehemu kubwa ya tuta imesha kamilika.
 
Back
Top Bottom