Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

352B181B-ADE4-4906-85AC-EBB70E6EAF73.jpeg
BDF0414E-6595-423B-93CB-E38EA00C8C01.jpeg
 
Kaka mwanza kuna utajiri mkubwa sana
Mwanza kuna sources of wealth nyingi mno. Serikali ikiwekeza kama invyowekeza Dar, uchumi utakua kwa kasi sana.
1. Mwanza ipo karibu na nchi zote za jumuiya ya afrika mashariki, ukijenga uwanja wa ndege wa kimataifa unaoeleweka Mwanza, itakuwa gateway ya hii region.
2. Jiji lipo karibu na hifadhi ya serengeti, watalii kutoka kona zote za dunia watakuwa wanakanyaga mwanza kwanza kabla ya kwenda serengeti, fursa za hoteli, migahawa nk
3. Ziwa victoria na samaki wake, kwa wale ambao wameshakula tilapia wanaelewa, viwanda zaidi ili tuweze kuexport more fish
4. Bandari iboreshwe tusafirishe vitu kupeleka Uganda baada ya sgr line kufika Mwanza
5. The city itself ni kivutio, hiyo miamba sio mchezo, urban tourism inweza kufanyika
6. More roads, Mwanza sasa hivi traffic jam inanukia kila siku, barabara ya kutoka town hadi nyegezi, buhongwa ambayo iko paved ni moja tu, hamna shortcuts nyingine za kukufikisha southern Mwanza zaidi ya hiyo so jam ikitokea katikati kwisha yako

Yaani Mwanza itakuwa tishio, miji kama Frankfurt in Germany haina population kubwa kama Berlin na wala sio capital city lakini serikali imespecialise kuwa financial center na uone jinsi fursa zinavyomwagika na TZ ifanye hivyo hivyo kwa miji kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dom sio kuwekeza Dar peke yake.
 
Mimi nikusubiri wewe!! Wewe kama ukiwa Dar toa taharifa siyo kutupiga mikwala ya kitoto. Habari za Dar utakua unahadithiwa na mtu huko Mombasa then unavaa uhusika ukija JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuhizi! Nitoe taarifa ili iweje? Nakwambia mwanangu Dar hamna nisichokifahamu na sio Dar tu peke yake nimejaribu kuizunguka Tanzania , ebu nikuulize yule mganga hukaa pale Kwa ule mzunguko wa mtongani na mavazi meupe mbona karuhusiwa kufanya uganga peupe? Ama wakaazi wa mtongani wote wachawi?.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mwanza kuna sources of wealth nyingi mno. Serikali ikiwekeza kama invyowekeza Dar, uchumi utakua kwa kasi sana.
1. Mwanza ipo karibu na nchi zote za jumuiya ya afrika mashariki, ukijenga uwanja wa ndege wa kimataifa unaoeleweka Mwanza, itakuwa gateway ya hii region.
2. Jiji lipo karibu na hifadhi ya serengeti, watalii kutoka kona zote za dunia watakuwa wanakanyaga mwanza kwanza kabla ya kwenda serengeti, fursa za hoteli, migahawa nk
3. Ziwa victoria na samaki wake, kwa wale ambao wameshakula tilapia wanaelewa, viwanda zaidi ili tuweze kuexport more fish
4. Bandari iboreshwe tusafirishe vitu kupeleka Uganda baada ya sgr line kufika Mwanza
5. The city itself ni kivutio, hiyo miamba sio mchezo, urban tourism inweza kufanyika
6. More roads, Mwanza sasa hivi traffic jam inanukia kila siku, barabara ya kutoka town hadi nyegezi, buhongwa ambayo iko paved ni moja tu, hamna shortcuts nyingine za kukufikisha southern Mwanza zaidi ya hiyo so jam ikitokea katikati kwisha yako

Yaani Mwanza itakuwa tishio, miji kama Frankfurt in Germany haina population kubwa kama Berlin na wala sio capital city lakini serikali imespecialise kuwa financial center na uone jinsi fursa zinavyomwagika na TZ ifanye hivyo hivyo kwa miji kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dom sio kuwekeza Dar peke yake.
Watu wasisahau ujenzi wa cherezo na meli kubwa unaoendelea Mwanza, pia ujenzi wa Airport, mradi wa daraja refu zaidi Africa bado upo.
 
Sikuhizi! Nitoe taarifa ili iweje? Nakwambia mwanangu Dar hamna nisichokifahamu na sio Dar tu peke yake nimejaribu kuizunguka Tanzania , ebu nikuulize yule mganga hukaa pale Kwa ule mzunguko wa mtongani na mavazi meupe mbona karuhusiwa kufanya uganga peupe? Ama wakaazi wa mtongani wote wachawi?.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Bila shaka umepanic😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom