mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Weka list ya vitu za maana juu naona hata Burkinafaso wapo juu yenu hata baada ya kumuua Sankara. juzi tu walikuwa na coup detat.
Weka list ya vitu za maana juu naona hata Burkinafaso wapo juu yenu hata baada ya kumuua Sankara. juzi tu walikuwa na coup detat.
kwani uko na kisasi na baiskeli au nini sababu yako kuwa na chuki na baiskeli namna hii?Ukija Tanga usishangae. Baiskeli mpaka mjini tena ndo boda boda, ukivuka barabara utasubiri gari ipite, bajaji ipite, pikipiki ipite na baiskeli ipite ndo uvuke.
Usiku usishangae ajali za baiskeli maana ni nyingi na hazina taa.
Kwenye traffic light usishangae kukuta mpaka baiskeli na pikipiki zinasubiri green light
Lakini Tanga ndo mkoa mzuri wa kutumia private car maana hakuna foleni barabarani
Pure hatred from Tanzanians
I hate carrying burdens my friend. I don't entertain hatred in my heart.Really? Nafikiri nyie wa humu ndo mna chuki pamoja na viongozi ila sisi wengine tunaoishi mpakana tunapeana tano daily. Jaribu kunihakikisha ni utani au chuki? Maana mmefikia kuitana NYANI
Really? Nafikiri nyie wa humu ndo mna chuki pamoja na viongozi ila sisi wengine tunaoishi mpakana tunapeana tano daily. Jaribu kunihakikisha ni utani au chuki? Maana mmefikia kuitana NYANI
niiiceHawa watalii watakuwa wanapitia Kenya kwanza wakitumia hii hapa
View attachment 916168View attachment 916168
Vile ichoboy01 akiona hii [picha hapo juu ya KQ
View attachment 916171
Mnyama huyo
I hate carrying burdens my friend. I don't entertain hatred in my heart.
And what benefit do we get for bending to your demands for evidence?...we have no obligation to prove anything to you,furthermore it is your choice to believe it or not!...go get a hair cut and dont forget to clean downstairs.nioneshe hio 16 lanes 😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏👏 na ukishindwa kunionesha ruksa kuhara
Umeambiwa ni parking lot hiyo?Uwanja wa "kimataifa" na uko na ndege mbili peke yake? this is a joke.
Kwa jina lingine hangers...hamna kitu pale ama nimedanganya?Umeambiwa ni parking lot hiyo?
Huna hoja..umeshindwa kujibu..kwhyo kaa kimya kilazawewe umejibu lipi??? kua munamiliki ndege ushahidi unao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Nyali hyo hapo..haya sasa fanya hesabu mwnywe...nilisema nyali nani alisema kenya nzima ukipata sehemu nimesema kenya nzima nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382][emoji382]
Kenya ukinunua ardhi ni yako milele...na usidanye watu hapa...kenya hulipii mjengo..unalipia biashara...bongo mpka nyumba zenu mnalipishwa kodi...utumwa walaiSiyo tz peke yake hata huko kenya ,,,,nchi yeyote ile lazima ardhi iwe chini ya serikali kama kwenu ardhi haipo chini ya serikali waambie wenye majengo wasilipe kodi halafu utaona kitakachowakumba[emoji1][emoji1][emoji1]
Hya nenda sauzi ukaangalie bei km iko chini ya bongo au juu...ldc always vitu vyake ni cheap..thats baadhi ya wakenya hununua magari yao tz au ug ili kupunguza gharamanakumbuka nilipokua mombasa maeneo ya mwembe tayari a chiken chips like this nilinunua 9000 tsh wakat hii nimenunua hapa ilala sasa hvi 3500[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf mbongo aje kutafuta maisha kenya how???View attachment 915513
Africa ziko ngap sikuhz?N
Nyinyi hata Afrika yenyewe bado hampo.
Nme quote the wrong txtAiseee we kweli kilaza,yaani mtu anawasapoti then unamtukana..ah kweli monkey atabaki kuwa monkey tu!