komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Slums...So kama upanga ni the best among other suburbs in Tanzania, je hizi zingine si ni slums kama hiiView attachment 915896
Slums...So kama upanga ni the best among other suburbs in Tanzania, je hizi zingine si ni slums kama hiiView attachment 915896
Utakulaje chips wewe mtoto wa kiume..hhhh!!!kumbe hyo jamaa ni kidada cha jfwe huli chips ???? au ni ghali kwenu???![]()
Mbili Mkuu...LDC na MIDDLE INCOME.
True.Slums...
Acha ujinga wewe, Leo mnamatatizo ya chakula na ukosefu mkubwa wa ajira kutokana na sera yenu mbovu ya ardhi, kila siku jamii za wafugaji wanapigana watu wanauliwa kutokana na dhuluma ya asili ya ardhi Kenya. Tume nyingi ziliundwa ili kurekebisha hiyo injustice, lakini mnashindwa kutekeleza mapendekezo ya hizo tume kwa sababu waliodhulumu ardhi ni wenye Kenya na matajiri wazungu. Lazima mjifunze toka Tanzania otherwise mtaendelea kuuana na njaa haitakwisha.Kenya ukinunua ardhi ni yako milele...na usidanye watu hapa...kenya hulipii mjengo..unalipia biashara...bongo mpka nyumba zenu mnalipishwa kodi...utumwa walai
Tuta mta wata....hhhhh!!hili nalo povu...naona siku hz wafugaji wamekuwa wakenya wote...alafu hao wanaouliwa hta wao pia wanauwa watu..kwhyo wacha kuongea ujinga...Acha ujinga wewe, Leo mnamatatizo ya chakula na ukosefu mkubwa wa ajira kutokana na sera yenu mbovu ya ardhi, kila siku jamii za wafugaji wanapigana watu wanauliwa kutokana na dhuluma ya asili ya ardhi Kenya. Tume nyingi ziliundwa ili kurekebisha hiyo injustice, lakini mnashindwa kutekeleza mapendekezo ya hizo tume kwa sababu waliodhulumu ardhi ni wenye Kenya na matajiri wazungu. Lazima mjifunze toka Tanzania otherwise mtaendelea kuuana na njaa haitakwisha.
LolAnd what benefit do we get for bending to your demands for evidence?...we have no obligation to prove anything to you,furthermore it is your choice to believe it or not!...go get a hair cut and dont forget to clean downstairs.
amenishangaza kweli huyo jamaa. yaani kwa jinsi kula chipsi au viazi inavosemekana kuongeza 'wowowo' kwa kina dada zetu,,, kisha anakuja baradhuli mmoja na kusimama mbele ya wanaume na kusema kua yeye anakula chipsi. sasa mimi nashindwa alikuwa na dhamira gani au anadhani tutamchukulia vipi?Utakulaje chips wewe mtoto wa kiume..hhhh!!!kumbe hyo jamaa ni kidada cha jf
Siajabu huyu ichoboy anabonge la wowowooamenishangaza kweli huyo jamaa. yaani kwa jinsi kula chipsi au viazi inavosemekana kuongeza 'wowowo' kwa kina dada zetu,,, kisha anakuja baradhuli mmoja na kusimama mbele ya wanaume na kusema kua yeye anakula chipsi. sasa mimi nashindwa alikuwa na dhamira gani au anadhani tutamchukulia vipi?
Hao wote msomali alisha dumbukiza copper😂😂😂It seems na wewe unataka kujiunga na hilo kundi la Gaza😂😄😂👆👆👆👆Tafuta ajira.Tuta mta wata....hhhhh!!hili nalo povu...naona siku hz wafugaji wamekuwa wakenya wote...alafu hao wanaouliwa hta wao pia wanauwa watu..kwhyo wacha kuongea ujinga...View attachment 916292
Hona points, wakenya wengi walishaona na kukubaliana na ukweli kwamba lazima sheria ya umiliki wa ardhi Kenya ibadilishwe kutokana na hii ya sasa kuwadhulumu wananchi wengi wa Kenya na kuikabidhi ardhi kwa wanasiasa na matajiri wachache, huwezi kuuza ardhi kama unavyouza gari, ardhi ndio nchi, huwezi kuwa na nchi bila ardhi, sasa kama mnauza ardhi tena kwa wazungu, maana yake mnauza nchi yenu, tumieni akili achenu uzuzu.Tuta mta wata....hhhhh!!hili nalo povu...naona siku hz wafugaji wamekuwa wakenya wote...alafu hao wanaouliwa hta wao pia wanauwa watu..kwhyo wacha kuongea ujinga...View attachment 916292
Halafu ni chipsi na kuku na hajui zimepikwa kwa mafuta ya aina gani. Pengine yako na cholesterol na anakula hiki chakula usiku, hafanyi mazoezi anashinda mitandaoni. Anahatarisha afya yake huyu na hajui .sidhani kama anaelewa maana ya lishe bora.amenishangaza kweli huyo jamaa. yaani kwa jinsi kula chipsi au viazi inavosemekana kuongeza 'wowowo' kwa kina dada zetu,,, kisha anakuja baradhuli mmoja na kusimama mbele ya wanaume na kusema kua yeye anakula chipsi. sasa mimi nashindwa alikuwa na dhamira gani au anadhani tutamchukulia vipi?
Define the term jubilee, explain why the No of millionaires in Nbo is rising while kibera not getting any better,why there are alot of kenyans infested with jigger despite of having safari boot (a known Kenyan shoes company )Best wishes to all candidates sitting for KCPE and KCSE exams View attachment 916111
A wapi...huyo afande anacheza anga za Eastleigh...muache aangushe wasomali kule...wakipelekewa afande kutoka jamii nyngne watasema wanadhulumiwa...Hao wote msomali alisha dumbukiza copperIt seems na wewe unataka kujiunga na hilo kundi la Gaza
Tafuta ajira.
Susan umebadilika sana siku hizi.Define the term jubilee, explain why the No of millionaires in Nbo is rising while kibera not getting any better,why there are alot of kenyans infested with jigger despite of having safari boot (a known Kenyan shoes company )
.....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Umenibadilisha babySusan umebadilika sana siku hizi.
What do you about cholesterol?Halafu ni chipsi na kuku na hajui zimepikwa kwa mafuta ya aina gani. Pengine yako na cholesterol na anakula hiki chakula usiku, hafanyi mazoezi anashinda mitandaoni. Anahatarisha afya yake huyu na hajui .sidhani kama anaelewa maana ya lishe bora.
Wacha kuongea pumba hapa...unaongea nikm wakenya hawamiliki ardhi....Hona points, wakenya wengi walishaona na kukubaliana na ukweli kwamba lazima sheria ya umiliki wa ardhi Kenya ibadilishwe kutokana na hii ya sasa kuwadhulumu wananchi wengi wa Kenya na kuikabidhi ardhi kwa wanasiasa na matajiri wachache, huwezi kuuza ardhi kama unavyouza gari, ardhi ndio nchi, huwezi kuwa na nchi bila ardhi, sasa kama mnauza ardhi tena kwa wazungu, maana yake mnauza nchi yenu, tumieni akili achenu uzuzu.
ndege 7 brand new aircrafs cash deal baby gal hakuna leasing deal😂😂😂👏👏👏Uwanja wa "kimataifa" na uko na ndege mbili peke yake? this is a joke.