Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Siyo tz peke yake hata huko kenya ,,,,nchi yeyote ile lazima ardhi iwe chini ya serikali kama kwenu ardhi haipo chini ya serikali waambie wenye majengo wasilipe kodi halafu utaona kitakachowakumba[emoji1][emoji1][emoji1]
Tz serikali inamiliki ardhi..hyo unapinga pia