evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Lewis anauliza kama umeolewa anataka mfunge ndoaNime~do?
Lewis anauliza kama umeolewa anataka mfunge ndoaNime~do?
Ni wewe uliulizwa hilo swali. Mbona hukujibu ipasavyo?Lewis anauliza kama umeolewa anataka mfunge ndoa
Hadi cinema wale wa rock city mall mwanza.. Wanafungua branch dodoma
Btw I have a question for you.Mama, times has changed, hata Ng'ombe na Kuku wameacha Kupigana siku hizi, Agree?
Mimi niambie kupigana kwenye bedi labda, If I am weak at that then I deserve all what you say, otherwise money is power,
My darling, Kumbuka hakuna mkate mgumu mbele ya Chai.
with guns? duh, nchi yenu ni something elseBest wishes to all candidates sitting for KCPE and KCSE exams View attachment 916111
kwao kila jambo ni vitawith guns? duh, nchi yenu ni something else
Walichelewa kwenda na wanawahi kurudi!! Soon mwandishi wa kikenya ata andika propanganda kama zile za Tz kuchoma moto ili kuwazuia wasiondoke.wamekosa chakula wameamua kurudi mapema kwenye neema
Pure hatred from TanzaniansTangu nianze kufuatilia humu naona tunaelekea kubaya chuki zimezidi au I am wrong.
Hebu wote naomba mnihakikishe ni utani tu?
Bless Tanzanians
Bless Kenyans
We are all Africans and brothers.
Never Creat hates let's enjoy true friendship wher even water drink is sweet Enough.
fair enoughTangu nianze kufuatilia humu naona tunaelekea kubaya chuki zimezidi au I am wrong.
Hebu wote naomba mnihakikishe ni utani tu?
Bless Tanzanians
Bless Kenyans
We are all Africans and brothers.
Never Creat hates let's enjoy true friendship wher even water drink is sweet Enough.
Nyinyi hata Afrika yenyewe bado hampo.Hizi ndio world best cities yaani hadi ya 100 hakuna any African cities in their listView attachment 915999View attachment 916000View attachment 916001View attachment 916002View attachment 916003
😂😂😂😂 walishindwa na hoja hakuna mnyama atakwenda akae sehemu hakuna chakula neverWalichelewa kwenda na wanawahi kurudi!! Soon mwandishi wa kikenya ata andika propanganda kama zile za Tz kuchoma moto ili kuwazuia wasiondoke.
chuki munayo nyie musiependa maendeleo ya waafrica wengine mukidhania kua jua lipo nairobi pekee safari hii maji yamefika shingoni😂😂😂😂Pure hatred from Tanzanians