komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hao wazungu ni akina nani...hhhh!!!hta wewe kuja ununue uone nikm utaibeba urudi nayo kwenu....utabaki kusema una ardhi kenya u invest na ulipe kodi...hakuna zaidiHona points, wakenya wengi walishaona na kukubaliana na ukweli kwamba lazima sheria ya umiliki wa ardhi Kenya ibadilishwe kutokana na hii ya sasa kuwadhulumu wananchi wengi wa Kenya na kuikabidhi ardhi kwa wanasiasa na matajiri wachache, huwezi kuuza ardhi kama unavyouza gari, ardhi ndio nchi, huwezi kuwa na nchi bila ardhi, sasa kama mnauza ardhi tena kwa wazungu, maana yake mnauza nchi yenu, tumieni akili achenu uzuzu.