komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sijakuletea sawa...leta hyo yako ya zote..ukishindwa wewe ni kilaza wa bongo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ahahahahhaha mm nakwambia ndege zote ni leased kwasabbau hujawah na hutawah kuniletea link kua kq inamiliki ndege hata moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hutoki leo hapa...eti umenambia..unafkria wakenya kila tamko ni sheria km kwenu...leta evidence..