Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji?

Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba alisema jiji amekosea ila HADHI ya jiji wote tuliowahi kutembelea majiji makubwa barani Africa tunalifahamu nini maana ya neno JIJI.
Sasa naomba niwape nilichokiona mimi pale DOM aisee hata kama wakoloni walisema pale ndio katikati ya Tz basi sawa ila sio kila katikaki ya NCHI lazima pasimikwe kuwa jiji,

Sijaona vitu hivi vinavyotambulisha JIJI

[emoji117] Barabara za lami za viwango?

[emoji117] Maghorofa mwanzo hadi katikati ya mji?

[emoji117] Mataa ya kuongozea magari ya kutosha?

[emoji117] Road reserve ya kutosha?

[emoji117] Pale Bungeni taa zake hazitoshi kabisa na
tena zingine haziwaki kabisaaaaa??

[emoji117] Maeneo ya kuingilia pale Bunge mkono wa
kushoto kutoka Dar maeneo yake ni
machafu, Nyasi zinatunza hadi Nyoka.

[emoji117] Vumbi na Baridi kwa kipindi hichi ni baadhi
ya mada nyongeza tu.

Naombeni nanyi mloyaona pale panapoitwa JIJI tujuzane hapa maana najua viongozi wa Serikali hapa wapo watasikia hichi kilio chetu wanaTanzania.....

kiben10 wa Zinjathropus wa History F2
Nilitumia masaa mawili nikaumaliza wote kwa baiskeli
 
kwani sifa ya jiji ni kuwa na maghorofa,wana darsalama wengi hawajafurahishwa na government kuhamia dodoma, watanzania tukutane wote katikati ya nchi ,itafika mda hzo barabara,stend na vingine vyote vitakaa sawa
Upo sahihi
 
Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba alisema jiji amekosea ila HADHI ya jiji wote tuliowahi kutembelea majiji makubwa barani Africa tunalifahamu nini maana ya neno JIJI.
Sasa naomba niwape nilichokiona mimi pale DOM aisee hata kama wakoloni walisema pale ndio katikati ya Tz basi sawa ila sio kila katikaki ya NCHI lazima pasimikwe kuwa jiji,

Sijaona vitu hivi vinavyotambulisha JIJI

[emoji117] Barabara za lami za viwango?

[emoji117] Maghorofa mwanzo hadi katikati ya mji?

[emoji117] Mataa ya kuongozea magari ya kutosha?

[emoji117] Road reserve ya kutosha?

[emoji117] Pale Bungeni taa zake hazitoshi kabisa na
tena zingine haziwaki kabisaaaaa??

[emoji117] Maeneo ya kuingilia pale Bunge mkono wa
kushoto kutoka Dar maeneo yake ni
machafu, Nyasi zinatunza hadi Nyoka.

[emoji117] Vumbi na Baridi kwa kipindi hichi ni baadhi
ya mada nyongeza tu.

Naombeni nanyi mloyaona pale panapoitwa JIJI tujuzane hapa maana najua viongozi wa Serikali hapa wapo watasikia hichi kilio chetu wanaTanzania.....

kiben10 wa Zinjathropus wa History F2
Sifa ya mji,mkoa kuwa jiji siyo MIUNDO MBINU mkuuu!
 
Kaka Iache Tu Dom Yetu Tushaizoea Wenyewe!Siku Ilivyotangazwa Jiji Hata Sisi Tulishtuka Mnh!![emoji22]
 
Binafsi sijafika Tanga ila mbeya na Dom ni kaka na Dada hazifai kuitwa jiji kama mnavyotaka, wanasema kuitwa jiji wanaangalia miundombinu, uchumi wa eneo husika, upatikanaji wa pesa lakini hivyo vyote kwa dodoma bado Sana haifai kuitwa jiji siyo kwa miundombinu, uchumi au upatikanaji wa pesa.... Mbeya nayo bado japokuwa wamepiga hatua kwenye uchumi, upatikanaji wa pesa na miundombinu ya barabara lakini kwa majengo bado sana mfano Kuna nyumba za tope mpaka mjini kwa mfano Sae, Ilomba, Ccm, Mama John Sai, Stereo, simike, soweto airport ya zaman, n.k 80% kwenye maeneo haya ni nyumba za tope.
 
Hawana stendi.... Wajenge kwanza Stendi.
 
Id yako na ulichoandika vinafanana, kwa tabia zako sooon utaolewa kabisa maana una hulka za kishogashoga sawa Kibenten! Wanaume hawaongei kihivyo.
 
Hivi hawa wanaosema sijui Mbeya, Tanga, dodoma na mikoa mingi tu utasema wao wanakaa wapi hapo Dar. kuna mitaa ukipita kama Tandale sijui ni mpaka aibu kusema uko Dar na hapo almost centre sasa nenda barabara za mijini ni mashimo tu na ziko kata almost 95% za Dar ni umaskini wa kutupwa sio watu tu hata miundo mbinu. Sehemu nzuri ni chache sana na uhai wa Dar ni bandari tu. Kwa Tz Dar mji mkubwa sana na hilo halina shaka mpaka kiuchumi ila miundombinu ni mibovu sana ziko sehemu nyingi Dar ni kama uko kijijini tu.
 
Binafsi sijafika Tanga ila mbeya na Dom ni kaka na Dada hazifai kuitwa jiji kama mnavyotaka, wanasema kuitwa jiji wanaangalia miundombinu, uchumi wa eneo husika, upatikanaji wa pesa lakini hivyo vyote kwa dodoma bado Sana haifai kuitwa jiji siyo kwa miundombinu, uchumi au upatikanaji wa pesa.... Mbeya nayo bado japokuwa wamepiga hatua kwenye uchumi, upatikanaji wa pesa na miundombinu ya barabara lakini kwa majengo bado sana mfano Kuna nyumba za tope mpaka mjini kwa mfano Sae, Ilomba, Ccm, Mama John Sai, Stereo, simike, soweto airport ya zaman, n.k 80% kwenye maeneo haya ni nyumba za tope.
mbona Tanga ni hivyo tu, mfano pale mabanda ya papa nyumba za udongo zipo,kwa minchi ndo usiseme, kuanzia barabara ya 12 nyumba za zamani. Vijijini ndo balaa ni tofauti na kilimanjaro (wachaga wanajenga sana nyumbani). Maji bombani yanatoka machafu yenye vumbi(hii ni kawaida ukija Tanga usishangae). Baiskeli mpaka mjini tena ndo boda boda, ukivuka barabara utasubiri gari ipite, bajaji ipite, pikipiki ipite na baiskeli ipite ndo uvuke.
Usiku usishangae ajali za baiskeli maana ni nyingi na hazina taa.
Kwenye traffic light usishae kukuta mpaka baiskeli na pikipiki zinasubiri green light
Lakini Tanga ndo mkoa mzuri wa kutumia private car maana hakuna foleni barabarani
 
Hivi hawa wanaosema sijui Mbeya, Tanga, dodoma na mikoa mingi tu utasema wao wanakaa wapi hapo Dar. kuna mitaa ukipita kama Tandale sijui ni mpaka aibu kusema uko Dar na hapo almost centre sasa nenda barabara za mijini ni mashimo tu na ziko kata almost 95% za Dar ni umaskini wa kutupwa sio watu tu hata miundo mbinu. Sehemu nzuri ni chache sana na uhai wa Dar ni bandari tu. Kwa Tz Dar mji mkubwa sana na hilo halina shaka mpaka kiuchumi ila miundombinu ni mibovu sana ziko sehemu nyingi Dar ni kama uko kijijini tu.

Imebidi nisine mara mbili pale uliposema uhai wa dam ni bandari tu?!

Mzunguko wa pesa wa wilaya moja ya dsm kama kinondoni inaweza kuwa ni mara 5 ya mzunguko wa pesa wa dodoma nzima. Kubali tu kuwa dodoma bado sana mzee
 
Dodoma haiwezi kufikia Dar hilo wala sio swali. Nilivyosema bandari ni kuwa chanzo cha yote hayo unayo ona Kinondoni au sehemu zingine. Imagine tu leo bandari ya Dar imefungwa unadhani hali itakuwa sawa. Mikoa yote Tz ni midogo katika pesa na sababu kubwa kila kitu ni lazima Dar kulikuwa hakuna kitu mikoani hata passport tu lazima Dar. leo tunaona hata Shinyanga unaweza kutoa. Ni sawa na Lagos na Abuja, kibiashara Abuja itakuwa juu tu au hata nchi za wenzetu Washington haiwezi kuwa newyork hata siku moja lakini ndio capital yao. Dar itabaki kuwa mji mkuu wa kibiashara Tz yote ila makao makuu itakuwa Dodoma. mioundombinu itajengwa tu na mji utakuwa japo hauwezi kuwa Dar.
 
Imebidi nisine mara mbili pale uliposema uhai wa dam ni bandari tu?!

Mzunguko wa pesa wa wilaya moja ya dsm kama kinondoni inaweza kuwa ni mara 5 ya mzunguko wa pesa wa dodoma nzima. Kubali tu kuwa dodoma bado sana mzee
Usi under estimate umuhimu wa bandari Dar ni kitu kikubwa sana katika unayo yaona leo Dar watu wanafuata bidhaa Dar kutoka kila sehemu Tz sababu bandari kama hakuna bandari hapo pesa itaenda sehemu nyingine. unajuwa sababu ya kufa Tanga? au hata Zanzibar ndio utajuwa siasa mbaya sana
 
Back
Top Bottom