asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
...92% of your roads are UNPAVED!!!
View attachment 803772
...92% of your roads are UNPAVED!!!
View attachment 803772
...Admin funga Huu mjadala!!
NBO jiji kuu!!!!!
...Hao ndio watu tunataka kulinganishwa nao. Sisi tutakubali Joburg ndio watu tunaweza linganishwa nao. Hao ndio watu/jiji tunashindana nao.
Sio kijiji chenu cha dar. Kenya ama NBO linganisha na joburg, Cairo, Lagos ama Mauritius. Apana linganisha NBO na dar. What is dar??
Kenya nchi hatari!!!
...Hizi zote hapa Pinnacle na AVIC inazichapa 10 nil !!
Mnajilinganisha na nchi ambayo inajengwa SKYSCRAPERS sio HIGHRISE BUILDINGS!!
LDCAlafu cha muhimu ujue density hautushtui sisi kama waKenya. Hizo minara zenu hazina biashara. Hamna watu wa kuzikomboa. Minara ya glesi ya kufurahisha mTZ ati anaendelea. Kuendelea mkienda wapi nyinyi LDC?
PAMBANENI NA HALI YENU!!
...Modern electric train inakimbia na umeme gani?? Una akili wewe??
...Tutangoja Hadi lini?? 2030? 2040? ama 2050?? Huu wakati wote unadhani Kenya itakua wapi? NBO itakua imefika wapi?
Hizi vitu ZISHAUNDWA Kenya na already ZINATUMIKA. Apana jaribu kujilinganisha na ndugu zenu wakubwa. Watakutia adabu!!
UMEME! DANGER!!! [emoji88][emoji88][emoji88]
ADMIN funga huu mjadala!!!
TUUSAN alishakubali hii maneno.TUUSAN kubali hii maneno tusonge mbele! TUUSAN nadhani wewe unakaa mtu mwenye Kuwa na busara. TUUSAN kubali na tuendelee na maisha zetu. TUUSAN Dar mko chini
...Hatuko juu jinsi mnavyofikiria. NBO tunajikakamua kushindana na other African hubs like Cairo, Joburg na Lagos. Tunajua bado hatujafika pahali ambapo Tunajua tunaweza kufika. Lakini kila siku ukakamavu tu. Sio wivu ama POROJO.
We want to be a developed country. But one step at a time. Dar mjipange. Mjikakamue. YOU CAN DO WONDERS. but not if you trash talk NBO and Kenya in general.
Kenya nchi hatari for African standards.
FACTS tuuAdmin this is OVERWHELMING!
Admin kama hii ilikua battle, basi NBO imetoka kama mshindi! Admin naonelea itakua jambo la busara watu wakubali hali yao.
Dar haiwezi shindana na NBO. NBO in the first place, hatukutaka kushindana na dar in any way whatsoever. Dar mlitaka kushindana na NBO by all means. Ila hamuwezani.
Admin funga huu mjadala!!
Ata Simba wa tanzaGIZA ICHOBOY kakubaliana eventually. Umebakia tuu admin ku MUTE threadICHOBOY amekubaliana na mimi huu mjadala Dar mmeshindwa! TUUSAN mkuu amekubaliana na mimi eti somehow NBO imeizidi Dar. Mimi pia nimekubaliana na mimi NBO jiji kuu
Admin! mjadala KWISHA!
Kuna train Za disel pia ila sio mikebe chakavu kama Ile yenuAlafu Utaskia Magufuli turns to Diesel engines
Huu Mjadala ni endelevu...TUUSAN alishakubali hii maneno.
Ndugu, Mkubali tusonge mbele
Alafu hebu nichekeshe.Huu Mjadala ni endelevu...
Nawapa credit kwenye roads n malls
Tengua kauli kwanza,Dar Ni jiji kamili acha ukengeAlafu hebu nichekeshe.
Dar kijiji chenu unakipatia credit gani?
Haha sawa basi mkuu.Tengua kauli kwanza,Dar Ni jiji kamili acha ukenge
Ilifaa wewe ndio useme maana kwenu nmewapa zenu tayarHaha sawa basi mkuu.
Hebu kuwa tu REALISTIC. Mji wenu wa Dar utaipatia credit gani?