Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumieni hizi madini mlio nazo nanyi pia mjiendeleze.

Yaani Kenya hakuna madini kama vile zilivyo TZ lakini bado we are almost doubling your GDP.

HIZI MADINI ZINASAIDIA AJE mTZ WA KAWAIDA?
unasubiri kuona tukitumia?na mbona tumeanza kidogo tu umepata shambulio la moyo.
 
Admin umesema tutaendelea kuvumilia huu mvutano? Issokey, waKenya watu wenye Subira hatari. Watu wa ajabu.

Might as well make friends here. Wangapi hucheza FPL?

Cheki team yangu
IMG_20180707_124647_271.jpg
 
Ulisoma bure tu ww, air pollution ni mjumuisho wa hewa chafu kutoka kwenye viwanda..Hakuna kiwanda kinachotoa hewa safi uache ujinga, btw mtatoa wap heavy industr wkat mnafua umeme wa kuwasha tu taa
Kwaivo viwanda vy jutegeneza juicy na assemble vitu kama magari,fridges,computers zinatoa moshi the same na vya simiti na steel?
 
Ulisoma bure tu ww, air pollution ni mjumuisho wa hewa chafu kutoka kwenye viwanda..Hakuna kiwanda kinachotoa hewa safi uache ujinga, btw mtatoa wap heavy industr wkat mnafua umeme wa kuwasha tu taa
Sasa wacha viwanda ata moshi ya magari na mahoteli pia ni chafu sijui unajaribu kuleta point gani?
 
Magari ndio hutoa sulphurdioxide ambayo ni sumu ikiwa incomplete combustion Is notorious yatoa smoke nyingi ...ndio maana nchi zilioendelea hua na umri maalumu wa ukomo wa kutumia magari...sasa apo kwenu na hapa Bongo magari mengi ni used na bei ambayo ni affordable yanavyozidi kua mengi road ndio wanavyochafua hewa. ..

Back to the topic kiwanda cha kutengeneza juice na kiwanda cha kutengeneza cement nivitu viwili tofaut, nadhan unafaham viwanda vya cement hutoa sumu flan yaitwa silicon ambayo husababisha silicosis(hii ni chronic obstructive pulmonary disease)COPDkwa direct and prolonged exposure
 
Sio silicon ni silica **silica from dust or rocks
 
Unaniambia zile vitu zote najua point yangu ilikuwa there is a reason why light industries are located near the cities all over the world and heavy industries are located outskirts of city, pollution ya moshi ya magari ni zaidi kuliko ile inatoka light industries
 
Wewe mgeni huku??

Pitia picha zote za NBO zilizomo humu ndani. WaKenya watu wanachukia kujirudia. Watu ambao wanazingatia muda. Tunataka kusonga mbele.
kawadanganye wenzio wa hapo kayole slums,sio sisi watu tunaoishi miji yote EAC..nimekaa nairobi,ilikuwa nzuri zamani lakini sasa lazima ukubari dar ni bora zaidi!!acha kusikiliza maneno ya slum dwellers wenzako funga safari uje dar uondoe tongotongo,ujionee mwenyewe,mimi niko tayari niwe mwenyeji wako gharama zote ukiwa dar ni juu yangu..
 
Nangoja kuona miujiza... Aty electronic train! Na Stima hawana!! When this crazy prezzoh of theirs changes his mind soon!! Naweza CHEKA HADI KIFUA IPASUKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hey cool down,your elder brother is on the way to show you how to do such things,stay & watch...
 
ok..!!a man with fuckin' hollow head!!have a good time too in slums...
Writing and speaking are two different components, it's a shame you write as kindergarten child. Go and practice functional writing before you get messed up when applying for jobs outside Tanzania where Swahili isn't recognized.
 
it's my third language, I see,u keep showing the way your head is empty!!..oohhh my GOD,applying for what???..a job???
 
kawadanganye wenzio wa hapo kayole slums,sio sisi watu tunaoishi miji yote EAC..nimekaa nairobi,ilikuwa nzuri zamani lakini sasa lazima ukubari dar ni bora zaidi!!acha kusikiliza maneno ya slum dwellers wenzako funga safari uje dar uondoe tongotongo,ujionee mwenyewe,mimi niko tayari niwe mwenyeji wako gharama zote ukiwa dar ni juu yangu..
I'm sorry, but I wouldn't wish my worst enemy such hospitality from you, especially in dar. I respectfully DECLINE!

Kijiji chenu hakiwezani. Hauna mvuto.

Afadhali nitulie MOMBASA
 
Back
Top Bottom