Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ICHOBOY amekubaliana na mimi huu mjadala Dar mmeshindwa! TUUSAN mkuu amekubaliana na mimi eti somehow NBO imeizidi Dar. Mimi pia nimekubaliana na mimi NBO jiji kuu

Admin! mjadala KWISHA!
 
haitakufa mpaka tuwaoneshe how the modern electric train itavokua hehehhe ili tuone mkijinyonga kwa big G😛😀😀😀
 
A27EFE9D-A615-4027-BFA1-8DD18B48B921.jpeg
 
haitakufa mpaka tuwaoneshe how the modern electric train itavokua hehehhe ili tuone mkijinyonga kwa big G😛😀😀😀
Punguani!! Mbona tujinyonge? Umeme hamna! Kabla muweke umeme kwenye treni nafikiri SGR already tutakua tushaUpgrade from diesel to electricity. (sio ati tuna haraka, kwa sababu already speeds of 120kph/100kph/80kph ni speeds nzuri sana for our diesel trains).

Modern electric train ya TZ haiwatishi waKenya. WaKenya watu ambao wanajua wanachotaka. WaKenya watu wenye busara. Wenye taratibu! Watu wa ajabu!!
 
siku ikianza utajua umeme ulitoka wapi hehehe unafkiri sisi ni kama nyie wakenya anakuja mchina anawanyoosha kizembezrmbe tu😀😀😀😀

sema gari moshi 120 kwa 80km per hr hehhe 😛😛
mchina nuksi aisee
 
Admin nafikiri ata wewe utakubaliana na mimi. Admin nafikiria wakati umefika. Admin unaweza weka hii thread 'ON HOLD' until further notice!

ICHOBOY anasema until SGR ya ki TZ umalizwe.

Haya basi! Admin funga Huu mjadala hadi SGR ya ki TZ ukamilishwe na uanze ufanyikazi!

NAKUSIHI admin!
 
Tihahahhaaaaa... You know I don't argue with idiots chooboy. Get some Nappy first...... Beat it.
acha hasira plz unaeza nionesha render ya pinnacle na montave and plz also nairobi88😀😀😀
 
Admin nafikiri ata wewe utakubaliana na mimi. Admin nafikiria wakati umefika. Admin unaweza weka hii thread 'ON HOLD' until further notice!

ICHOBOY anasema until SGR ya ki TZ umalizwe.

Haya basi! Admin funga Huu mjadala hadi SGR ya ki TZ ukamilishwe na uanze ufanyikazi!

NAKUSIHI admin!
hehheheh 😀😀😀😀

nimecheka sana aisee😀😀😀
View attachment 803977
Huu sasa UTOTO na UJINGA wa Hali ya juu.

Admin TAFADHALI! Tusaidie hapa! Kijana anajiaibisha jinsi anavyofikiria. Yaani huyu MTOTO mkubwa!

TUUFUNGE huu mjadala dar mpate saa na mda wa kuijenga kijiji chenu pamoja na nchi yenu. It's time! NBO>>>dar
 
Back
Top Bottom