Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'm sorry, but I wouldn't wish my worst enemy such hospitality from you, especially in dar. I respectfully DECLINE!

Kijiji chenu hakiwezani. Hauna mvuto.

Afadhali nitulie MOMBASA
kulikoni😀😀😀😀 munabaka wanafunzi bado

 
I'm sorry, but I wouldn't wish my worst enemy such hospitality from you, especially in dar. I respectfully DECLINE!

Kijiji chenu hakiwezani. Hauna mvuto.

Afadhali nitulie MOMBASA
basi sawa,we endelea kujifungia hapo kibera huku ukiendelea kujiaminisha kwamba Nairobi jiji bora...!!
 
Na USIJARIBU kulinganisha SGR yetu na TAZARA yenu
utofauti wake nini??hiyo mitreni sisi tunayo toka miaka ya 70 huko..wewe unaletewa leo na mchina unajiona bora!!teknolojia ya kisasa ni electric trains..sawa jaluo??
n:b hizo train zenu zinazidiwa mbali kabisa na deluxe inayokwenda kigoma via central railways..
 
Writing and speaking are two different components, it's a shame you write as kindergarten child. Go and practice functional writing before you get messed up when applying for jobs outside Tanzania where Swahili isn't recognized.
ENGLISH,the only kenyan pride.
 
Na ujue Tz haina Media ya kuanika hawa Mafala coz bado wako ukoloni mamboleo... They lough at us as we correct our selves through the media yet pesa ikiibwa Tz hakuna mtu anajua... We'll see whose the fool in the end..
Kinacho nifurahisha ni kujua kwamba kufungwa kwa JF kwa muda kuliyaweka wazi upungufu mkubwa wa Uhuru wa wanahabari na jukwaa za kijamii.
 
Kinacho nifurahisha ni kujua kwamba kufungwa kwa JF kwa muda kuliyaweka wazi upungufu mkubwa wa Uhuru wa wanahabari na jukwaa za kijamii.
unajua ilifungwa sababu gani,au una mawazo yako kichwani tayari?
 
Dsm
IMG_20170602_230052.jpg
 
ACCEPTANCE huanza hivi.

NOW, pull up your socks and stop sleeping!

Aspire to be a model of Kenya!
Nyinyi naskia hamna ukabila (sijui kama ni kweli). Ila bila Huu ukabila mmefanya nini ya maana? Mmeendelea ama bado mko LDC?

NINI haswa kinaendelea bongolalaland? View attachment 803752
...
 
KITAELEWEKA!!

ADMIN!? Uko wapi? Huu mjadala umefika maoni laki moja na! Nafikiria NBO imejitambulisha na kujiuza. Nafikiria pia umefika wakati waTZ wakubali Hali yao na wajikakamue. UMEFIKA wakati wa kufunga huu mjadala

MOTO umekua moto sana inabidi uzimwe!!
...
 
Back
Top Bottom