Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hujui dar huitwa mzizima? Ilo ni jina lingine la kale...So mzizima towers 35,33flr to let lazima mjikague
Then you are in for a rude shock.what is 35,33... Nairobi has the 2nd Tallest Deck in Africa and soon it will be hosting the tallest. The pinnacle foundation is almost being completed then tuanze the game of hight.. A Dubai firm sio ya kuchezea... Hii si ya mchina and by time you will realize this.
 
Alafu cha muhimu ujue density hautushtui sisi kama waKenya. Hizo minara zenu hazina biashara. Hamna watu wa kuzikomboa. Minara ya glesi ya kufurahisha mTZ ati anaendelea. Kuendelea mkienda wapi nyinyi LDC?

PAMBANENI NA HALI YENU!!
FACTS!
 
Bado hamna umeme! Treni zikiletwa zinakimbia na umeme gani!?? View attachment 803919
Nangoja kuona miujiza... Aty electronic train! Na Stima hawana!! When this crazy prezzoh of theirs changes his mind soon!! Naweza CHEKA HADI KIFUA IPASUKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutangoja Hadi lini?? 2030? 2040? ama 2050?? Huu wakati wote unadhani Kenya itakua wapi? NBO itakua imefika wapi?

Hizi vitu ZISHAUNDWA Kenya na already ZINATUMIKA. Apana jaribu kujilinganisha na ndugu zenu wakubwa. Watakutia adabu!!

UMEME! DANGER!!! [emoji88][emoji88][emoji88]

ADMIN funga huu mjadala!!!
2019 phase 1 dar to moro 300km
2020 phase 2 moro to dodoma 412km hehhehe

the modern electric train in africa under europen standards😀😀😀😀😀😀😀
 
Hawajui simasikio wameweka pamba. ..
Jamaa sahivi wanamalizia tuta na madaraja...jana nmepita site maeneo ya kisarawe wanajenga madaraja 200 phase ya kwanza kufikia Dec upande wa madaraja watakua wamefika mbali sana
jamaa wanajenga usiku na mchana heheh kumbuka ni kampuni mbili turkey and portugal😀😀
 
Then you are in for a rude shock.what is 35,33... Nairobi has the 2nd Tallest Deck in Africa and soon it will be hosting the tallest. The pinnacle foundation is almost being completed then tuanze the game of hight.. A Dubai firm sio ya kuchezea... Hii si ya mchina and by time you will realize this.
Soon ipi miaka nenda Rudi mko kwenye foundation ,izo nyumba zinaisha bado mnajenga msingi...wewe unadharau wakat even majengo marefu ya Nai kwa sasa hayafiki 35FLR
 
Hizi ni kondoo za ********... Utaskia hakuna kutembea bila kujifunika Magunia kila mahali except macho aty utakatifu.. Na tufala tunafwata[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ni kuwa slave mi siezi tetea inchi Kama hii
MJERUMANI anasikitika sana. Yaani kama hivi ndio mTZ anafikiria, Mjerumani angetaka sana arudishe saa nyuma. Awachane na Urusi azingatie TZ.

Mbona hamuwezi fikiria? Ama Watanzania niache kujumlisha? Labda ni hawa MA Ichoboy wanawaaibisha??
 
Nairobi's Industrial expansion on the roll
E3zDVkK.jpg


4wHWukn.jpg
 
Yaani FREE COMEDY!!!!
Mara Ohh Modern Electric train in Africa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Surely... WHAT THA HELL IS THAT!!! Ebu Fikiria? Aty "MODERN ELECTRONIC TRAIN IN AFRICA"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... So this means SA, Ethiopia has no modern electric trains? Zao ni ancient [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nangoja kuona miujiza... Aty electronic train! Na Stima hawana!! When this crazy prezzoh of theirs changes his mind soon!! Naweza CHEKA HADI KIFUA IPASUKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2019 sio mbali utacheka vizuri
 
Mjadala UFUNGWE!!

dar kijiji chenu Itabidi kimetia fora! Bado kuifikia hadhi ya NBO! NBO jiji KUU. Jiji hatari!

Admin NAKUSIHI !!
 
Viwanda vimejengwa Pwani sio Dar endeleeni kuchafua jiji badae mtaanza vaa mask
TUUSAN kubali hii maneno tusonge mbele! TUUSAN nadhani wewe unakaa mtu mwenye Kuwa na busara. TUUSAN kubali na tuendelee na maisha zetu. TUUSAN Dar mko chini
 
Back
Top Bottom