Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anatishia kufunga thread yako. Unaona vile Wakenya wako aggresive. Jamaa ameingia jamii forum june 26th. Yaani siku kumi zilizopita na tayari ni jf expert member. Hapana cheza 😀😀😀
hajui ilikotoka na hajui inakoenda 😀😀😀
na walikuja kama yeye na wakakimbia heheh hii thread haitafungwa npaka tuhakikishe mumeona kwa macho modern electric train in africa
 
Admin funga Huu mjadala! Wakati umefika! Wakati umefika waTZ wakubali Hali yao. Wakati umefika KUFUNGA huu mjadala.

Dar mko chini kama nonsense!!
 
Aty mzi!?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha aibu ndogo ndogo do you know how many towers are coming up under the Avic international Organization? And there is one hitting above 40 floors na Tz Hakuna hata moja imekaribia 40!! Yani inshort kwa buildings tumewatoa in every single aspects.... Be it hight, floors, artitecture, Occupation Yani what are you guys even good at?
Kwani hujui dar huitwa mzizima? Ilo ni jina lingine la kale...So mzizima towers 35,33flr to let lazima mjikague
 
hajui ilikotoka na hajui inakoenda 😀😀😀
na walikuja kama yeye na wakakimbia heheh hii thread haitafungwa npaka tuhakikishe mumeona kwa macho modern electric train in africa
Modern electric train inakimbia na umeme gani?? Una akili wewe??
 
Modern electric train inakimbia na umeme gani?? Una akili wewe??
Bado hamna umeme! Treni zikiletwa zitakimbia na umeme gani!??
IMG_20180706_074033_388.JPG
 
Mjinga wa wajinga! mKenya atakuaje na wivu kwa mTZ?
Ni kujienjoy tu na Ufala za hawa wasee... Ujue mi HUCHEKA Daily ju ya JF hawa watu ni funny sana... aty viwonder[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Modern electric train inakimbia na umeme gani?? Una akili wewe??
Nov 2019 train inaanza safari zake subiri uone mahali umeme unapotoka...Usiwe na maswali kama hukuenda shule, Ilo sidhan kama ni swali
 
Nov 2019 train inaanza safari zake subiri uone mahali umeme unapotoka...Usiwe na maswali kama hukuenda shule, Ilo sidhan kama ni swali
jamaa anaumia sana akiskia best electric train in africa😀😀😀😀
 
siku ikianza ndio utajua wapi umeme umetoka umeskia hehehhehe😀😀😀😀😀

Railway Under Construction in Tanzania Probably Africa's Best
Tutangoja Hadi lini?? 2030? 2040? ama 2050?? Huu wakati wote unadhani Kenya itakua wapi? NBO itakua imefika wapi?

Hizi vitu ZISHAUNDWA Kenya na already ZINATUMIKA. Apana jaribu kujilinganisha na ndugu zenu wakubwa. Watakutia adabu!!

UMEME! DANGER!!! [emoji88][emoji88][emoji88]

ADMIN funga huu mjadala!!!
 
jamaa anaumia sana akiskia best electric train in africa😀😀😀😀
Hawajui simasikio wameweka pamba. ..
Jamaa sahivi wanamalizia tuta na madaraja...jana nmepita site maeneo ya kisarawe wanajenga madaraja 200 phase ya kwanza kufikia Dec upande wa madaraja watakua wamefika mbali sana
 
Nov 2019 train inaanza safari zake subiri uone mahali umeme unapotoka...Usiwe na maswali kama hukuenda shule, Ilo sidhan kama ni swali
Nafikiri by now unajua mimi sio kama Mtanzania wa kawaida. Mimi msomi hatari. SUGU!! DANGER! [emoji88][emoji88]
 
Back
Top Bottom