Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua tatiz sio kingereza tatizo ni point zako unazotoa..mnaposema mnaelimu bora nilitegemea muweze kusimamia miradi mikubwa wenyewe you can just lend money from them and do all the project on ur own,most importantly is the adherence of loans terms & conditions !! Sasa kwa elimu iyo iyo ndio mnaishia kua day workers na kazi kubwa zinazohitaji ujuzi wanakula wageni zile za jua kali ndio wanapewa akina Kajamba nani
Mtakuaje developed country bila kutangamana na developed ideas? WaKenya watu hatari. Hivi unadhani Hakuna wahandisi waKenya wanaotangamana na kuunda hizi miradi pamoja na waChina?

Inaitwa KNOWLEDGE TRANFER!
ili miradi za baadae waKenya baadae wawe na the KNOW HOW of constructing a near perfect model.

WaKenya watu hatari sana. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzanian
 
I want you answer this quiz; Why do Turkish and S.A companies constructing your railway line yet you have civil engineers in Tz ?
 
Now this the education I'm talking about, the education of know-how. Do you know how, do you know why and do you know when.
Haha how why and when is that all?lazima pia ufanye wanayofanya hao walioendelea...hv kuna kampuni gani ya kikenya inayoweza kusanifu na kujenga nyumba ya 20+storey pekee bila usimamizi wa kampuni ya nje..yani at last wakabidhi tu jengo
 
Mtakuaje developed country bila kutangamana na developed ideas? WaKenya watu hatari. Hivi unadhani Hakuna wahandisi waKenya wanaotangamana na kuunda hizi miradi pamoja na waChina?

Inaitwa KNOWLEDGE TRANFER!
ili miradi za baadae waKenya baadae wawe na the KNOW HOW of constructing a near perfect model.

WaKenya watu hatari sana. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzanian
Izo ni story Za nchi zote kwani hujui apa bongo hao waturuki wanavyojenga reli apa hao wazawa hujifunza ili badae waweze fanya maintenance na muendelezo ikitokea inahitajika kufanyika ivyo...

Braza sikia elimu yetu tofauti kama ipo basi itakua mipaka Yaani sirari,namanga au tarakea ,siku mtaweza simamia wenyewe mradi mkubwa mpya ndio uje uniambie mnaelemu
 
POVU!!!
 
I want you answer this quiz; Why do Turkish and S.A companies constructing your railway line yet you have civil engineers in Tz ?
Rebounding question ...wacha nikujibu
wakati mnasoma huo uhandisi hamkufuzwa ivo vitu?1.Elimu duni ,2.uzoefu ,3.fedha.!!
Tabia hizi ndio zipo Kenya &Tz respectively
 
You are 100% correct about these ones but there is one you have left out. Go and read about INTERNATIONAL BORROWING FOR DEVELOPMENT, you will see what I'm talking about.
 
Hadi Barabara tu mnajengewa na wageni aki nisiskie mkenya anasema mnaelemu apa vilaza wakubwa
92% of your roads are UNPAVED!!!
tapatalk_1530809904855.jpeg
 
You are 100% correct about these ones but there is one you have left out. Go and read about INTERNATIONAL BORROWING FOR DEVELOPMENT, you will see what I'm talking about.
Nikipata nafasi ntajifunza!!
 
Mimi sijali ban au nini!

Mimi nitakulisha FACTS bila kuzingatia HURUMA.

Mimi I will bring you back to reality!

Admin funga Huu mjadala!!
Hii ni battle endelevu nmekuona apa huna ata wiki na umeshachoka wewe hufai
 
And I didn't said abt business exposure or international investment either,
Dar real estate is ahead of Nbo ,Dar is big than Nai so this is nothing to worry abt

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

What do you mean Dar real estate is ahead of Nairobi? Ahead in terms of what? Again, Dar City is largerthan Nairobi city but Dar Metro is smaller than Nairobi Metro. You need to understand that.
 
Dar real estate is worth $12bln & NBO $9bln
 
Mimi sijali ban au nini!

Mimi nitakulisha FACTS bila kuzingatia HURUMA.

Mimi I will bring you back to reality!

Admin funga Huu mjadala!!

wewe dogo hujui huu uzi umetoka wapi na wapi hasa unaelekea,cha msingi tafuta kazi ufanye,wametamani sana wakenya wenzako huu uzi ufungwe mpaka kuitishana mgomo wa kuuchangia but as ussually,ni sawa na na kuzuia mafuriko kwa beseni.

unajaribu kuchungulia unakuta mkenya mwingine kaenda kutafuta picha kaleta.
 
Back
Top Bottom