Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soon ipi miaka nenda Rudi mko kwenye foundation ,izo nyumba zinaisha bado mnajenga msingi...wewe unadharau wakat even majengo marefu ya Nai kwa sasa hayafiki 35FLR
You know the kind of building being built in Nairobi (pinnacle) is the first of its kind in Africa.. An actual sky scrapper... We unadhani Gorofa ya 70 floors ina foundation Kama ya PPF... Hii ni skyscraper buda the only in Africa zingine ziko Dubai, Tokyo, New york etc (hata Berlin haina kama hii) they take more time in the foundation... This type of constitution haiko hata South Africa... This is a massive building it takes time... 2022 si kesho
 
TUUSAN kubali hii maneno tusonge mbele! TUUSAN nadhani wewe unakaa mtu mwenye Kuwa na busara. TUUSAN kubali na tuendelee na maisha zetu. TUUSAN Dar mko chini
Sio kwamba nyie mpo juu,in English we say ur somehow...
 
You know the kind of building being built in Nairobi (pinnacle) is the first of its kind in Africa.. An actual sky scrapper... We unadhani Gorofa ya 70 floors in a foundation Kama ya PPF... Hii ni skyscraper buda they take more time in the foundation... This type of constitution haiko hata South Africa... This I a massive building it takes time... 2022 si kesho
Unafaham Carlton centre ya Jozi? Nyumba ya floor 50 imejengwa miaka karibu 40 iliopita sasa hii ni 2018 nadhan technology pia hukimbizana na wakati,you can't tell me since 2014 mnajenga foundation tu ,sema ukwel ujenzi ulisita kwa kipindi kirefu maybe Ndio unaendelea. ..Mimi sijasoma mambo ya uhandisi lakini naweza kupambanua nakuelewa
 
Sio kwamba nyie mpo juu,in English we say ur somehow...
Hatuko juu jinsi mnavyofikiria. NBO tunajikakamua kushindana na other African hubs like Cairo, Joburg na Lagos. Tunajua bado hatujafika pahali ambapo Tunajua tunaweza kufika. Lakini kila siku ukakamavu tu. Sio wivu ama POROJO.

We want to be a developed country. But one step at a time. Dar mjipange. Mjikakamue. YOU CAN DO WONDERS. but not if you trash talk NBO and Kenya in general.

Kenya nchi hatari for African standards.
 
Unafaham Carlton centre ya Jozi? Nyumba ya floor 50 imejengwa miaka karibu 40 iliopita sasa hii ni 2018 nadhan technology pia hukimbizana na wakati,you can't tell me since 2014 mnajenga foundation tu ,sema ukwel ujenzi ulisita kwa kipindi kirefu maybe Ndio unaendelea. ..Mimi sijasoma mambo ya uhandisi lakini naweza kupambanua nakuelewa
Are you sure construction ilianza 2014? By that year pinnacle ilikua proposed pinnacle ilianza juzi 2016 na officially launched for constraction in 2017 by Uhuru Kenyatta & inaisha 2022 acha UPUZZI kaka
And what is Carlton center if we're housing Britam as the Second in hight.
 
Nairobi's Industrial expansion on the roll
E3zDVkK.jpg

4wHWukn.jpg
wanjala karibu sana upo kweli😀😀😀😀
 
Mara Ohh Modern Electric train in Africa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Surely... WHAT THA HELL IS THAT!!! Ebu Fikiria? Aty "MODERN ELECTRONIC TRAIN IN AFRICA"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... So this means SA, Ethiopia has no modern electric trains? Zao ni ancient [emoji23][emoji23][emoji23]
hii ni baba yao narudia kukwambia modern electric train in africa under european standards😀😀😀
 
You know the kind of building being built in Nairobi (pinnacle) is the first of its kind in Africa.. An actual sky scrapper... We unadhani Gorofa ya 70 floors ina foundation Kama ya PPF... Hii ni skyscraper buda the only in Africa zingine ziko Dubai, Tokyo, New york etc (hata Berlin haina kama hii) they take more time in the foundation... This type of constitution haiko hata South Africa... This is a massive building it takes time... 2022 si kesho
plz show us render of pinnacle plz plz😀😀
 
Are you sure construction ilianza 2014? By that year pinnacle ilikua proposed pinnacle ilianza juzi 2016 na officially launched for constraction in 2017 by Uhuru Kenyatta & inaisha 2022 acha UPUZZI kaka
And what is Carlton center if we're housing Britam as the Second in hight.
hakuna cha 2022 hata mupewe mpaka 2030 heheh mutabaki kuonesha renders humu😀😀😀
 
Hatuko juu jinsi mnavyofikiria. NBO tunajikakamua kushindana na other African hubs like Cairo, Joburg na Lagos. Tunajua bado hatujafika pahali ambapo Tunajua tunaweza kufika. Lakini kila siku ukakamavu tu. Sio wivu ama POROJO.

We want to be a developed country. But one step at a time. Dar mjipange. Mjikakamue. YOU CAN DO WONDERS. but not if you trash talk NBO and Kenya in general.

Kenya nchi hatari for African standards.
Tuliachana na usingizi ndio maana Leo tunaweza kuongea hapa...
Na Sio maneno makavu tunajenga miundombinu ya kisasa ili tuweze kuboresha Mji multi millions projects are uc in Dar city, kufikia Dec brt 2&3 phase itaanza sambamba na ujenzi wa highway zakutoka Dar kwenda chalinze. ..dar is now promising wala sio story za vijiwe
 
Back
Top Bottom