asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
...Punguani!! Mbona tujinyonge? Umeme hamna! Kabla muweke umeme kwenye treni nafikiri SGR already tutakua tushaUpgrade from diesel to electricity. (sio ati tuna haraka, kwa sababu already speeds of 120kph/100kph/80kph ni speeds nzuri sana for our diesel trains).
Modern electric train ya TZ haiwatishi waKenya. WaKenya watu ambao wanajua wanachotaka. WaKenya watu wenye busara. Wenye taratibu! Watu wa ajabu!!