Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mganga low IQ. Unaenda rehab lini?
downloadfile-143.png

Maku angalia ulivyonyooka,yan uko kama mjusi (lizard)hivi unapata milo 3 kwa siku kweli?
 
Many Investors and stakeholders jetting in,
Destination: Lamu

Alafu kuja jf warriors anatuambia “haita”
They will not believe
IMG_4192.jpeg
IMG_4193.jpeg
IMG_4194.jpeg
 
Lakini unajua ako na roho nzuri mpaka alikuahindi viatu vya bure juu ya huruma kwako…bado he’s waiting for your response… 🤣🤣🤣
Babu jinga we mwenyewe hujui kuvaa,unavaa mironya ronya kama hiyo ya over size,then ndio uninunulie mimi kiatu,sema kama unataka kiatu niwashtue wanangu huko huko state wakuletee hapo detroit machafu chafu
Screenshot_20250621-090932.png
 
the ones who included mathare kwenye hii BID katukosea sana

View: https://www.instagram.com/p/Dd4RPrKBUKs/

Wakenya wana masihara mengi sn, nafikiri waliona hii tournament ikiandaliwa na Tz kwao itakuwa simanzi, kwahiyo wakaona wajiingize ilihali wakijua hawako ready ili tufeli wote, japo lawama pia nazipeleka kwa wahusika pale tff, walijuwa kabisa Kenya haina uwezo wa ku host na hata kama ingekuwa na uwezo huo, je hawakujua kwamba hawa jamaa wangekuwa na uchaguzi 2027? Je hawajui kama wakenya hawajastaarabika bado linapokuja suala la uchaguzi?
 
DAMN, i have to know aliewaweka mathare kwenye BID sjui hakuona red flags toka CHAN now we are paying the price 😭 😭 😭 😭
 
Back
Top Bottom