Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1820.JPG
 
First you have to understand terms and conditions of money lending contract between/ among nations. The construction are part of contract between Kenya and China. China only agreed to lend Kenya with a condition of letting China contractors to build the railway just the same way your railway is being build by Turkish company (Yapi Merkez Insaat Ve Sanayi) and South Africa company( Mota-Engil Enganharie). This is because you borrowed money for construction from Turkey and South Africa.
nani kakwambia tumekopa hela za kujengea reli turkey na south Africa??mbona nyie mnapenda kuropoka hovyo?
 
Alafu cha muhimu ujue density hautushtui sisi kama waKenya. Hizo minara zenu hazina biashara. Hamna watu wa kuzikomboa. Minara ya glesi ya kufurahisha mTZ ati anaendelea. Kuendelea mkienda wapi nyinyi LDC?

PAMBANENI NA HALI YENU!!
weka picha porojo za nini?..Nairobi haiwezi kushindana na dar dogo!!
 
Hizi ni kondoo za ********... Utaskia hakuna kutembea bila kujifunika Magunia kila mahali except macho aty utakatifu.. Na tufala tunafwata[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ni kuwa slave mi siezi tetea inchi Kama hii
oya usiwe pimbi kijana huo ni utaratibu wa mtanzania,ni tamaduni,wala usimsingizie magu,anyway
asanteni kwa kufuatilia ma celeb wetu..
 
weka picha porojo za nini?..Nairobi haiwezi kushindana na dar dogo!!
Wewe mgeni huku??

Pitia picha zote za NBO zilizomo humu ndani. WaKenya watu wanachukia kujirudia. Watu ambao wanazingatia muda. Tunataka kusonga mbele.
 
Admin nafikiri ata wewe utakubaliana na mimi. Admin nafikiria wakati umefika. Admin unaweza weka hii thread 'ON HOLD' until further notice!

ICHOBOY anasema until SGR ya ki TZ umalizwe.

Haya basi! Admin funga Huu mjadala hadi SGR ya ki TZ ukamilishwe na uanze ufanyikazi!

NAKUSIHI admin!
...
 
Back
Top Bottom