Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nani kakwambia tumekopa hela za kujengea reli turkey na south Africa??mbona nyie mnapenda kuropoka hovyo?
I'm an outsider but i know what is happening in your country than you. Mlidanganywa ati mnajenga reli na pesa zenyu? 😀😀
Screenshot_20180707-105046.png
Screenshot_20180707-105137.png
 
Sasa light industries ni wapi zinachafua hewa? Saa zingine unawa ga mpumbavu kama wenzako.....
Ulisoma bure tu ww, air pollution ni mjumuisho wa hewa chafu kutoka kwenye viwanda..Hakuna kiwanda kinachotoa hewa safi uache ujinga, btw mtatoa wap heavy industr wkat mnafua umeme wa kuwasha tu taa
 
Punguani!! Mbona tujinyonge? Umeme hamna! Kabla muweke umeme kwenye treni nafikiri SGR already tutakua tushaUpgrade from diesel to electricity. (sio ati tuna haraka, kwa sababu already speeds of 120kph/100kph/80kph ni speeds nzuri sana for our diesel trains).

Modern electric train ya TZ haiwatishi waKenya. WaKenya watu ambao wanajua wanachotaka. WaKenya watu wenye busara. Wenye taratibu! Watu wa ajabu!!
Unajifariji[emoji23] [emoji23]
 
Ulisoma bure tu ww, air pollution ni mjumuisho wa hewa chafu kutoka kwenye viwanda..Hakuna kiwanda kinachotoa hewa safi uache ujinga, btw mtatoa wap heavy industr wkat mnafua umeme wa kuwasha tu taa
KENYA!
IMG_20180707_110514_415.jpg
IMG_20180707_110537_893.jpg
 
Nilidhani mmeshafika walau demand ya 5000MW Mjadala uishe kama ulivyoomba kumbe chenga tu
mKenya ni mtu wa facts tuu. Mtu hatari sana. Wewe wapi mKenya alisema capacity yetu 5000MW?? Yaani hadi mnaweka maneno kwenye midomo ya waKenya budaaaa??

You guys are so desperate umefika mnaweka maneno midomoni ya waKenya?

Tahadhari sana. WaKenya watu hatari.

I hope umeona 2030 demand na capacity ya umeme Kenya itakua namna gani.

15000MW against 19000MW. [emoji88][emoji88]
 
I'm an outsider but i know what is happening in your country than you. Mlidanganywa ati mnajenga reli na pesa yenyu? 😀😀View attachment 804254 View attachment 804256
Naamini kabisa ulielimika,Phase 1 ni internal source zimetumika $1.2 bln lakini iyo reli inatakiwa ifike mwanza...Dar -Mwanza ni km 1000+ so maana ya turn to world bank ni kwamba hatuwezi finance the whole project wenyewe...bado uchumi wetu haujakomaa lakini tumejaribu kuanza safari ndio maana tunaomba nguvu tuendelee...
Nyie ambao hamkutoa hata sh 10 kwenye SGR yenu Mnatoa wapi nguvu ya kutunyooshea kidole?
 
mKenya ni mtu wa facts tuu. Mtu hatari sana. Wewe wapi mKenya alisema capacity yetu 5000MW?? Yaani hadi mnaweka maneno kwenye midomo ya waKenya budaaaa??

You guys are so desperate umefika mnaweka maneno midomoni ya waKenya?

Tahadhari sana. WaKenya watu hatari.

I hope umeona 2030 demand na capacity ya umeme Kenya itakua namna gani.

15000MW against 19000MW. [emoji88][emoji88]
2030 ya nn ongea ya Leo kwanza acha oh jump ...
Alafu mbona sentensi yangu ilikua wazi kabisa kwamba nilidhani kwamba mmefikia 5000MW na sijasema kwamba nyie ndio mlisema ivyo...
15000MW unadhani ni Kupika wali na kupakua? [emoji23] [emoji23]
 
Haha haya basi. Ndio hizi facts on your face!!

TZ btw mnatambua nuclear power ni nini? By 2030 mtautambua kupitia Kenya. (This was just a BTW msije mkaanza kulia ati ooh..ati eeh).

Mko chini bana! Mko chini sana, ndugu!
IMG_20180707_110514_415.jpg
IMG_20180707_110537_893.jpg
tapatalk_1530809904855.jpeg
 
Haha haya basi. Ndio hizi facts on your face!!

TZ btw mnatambua nuclear power ni nini? By 2030 mtautambua kupitia Kenya. (This was just a BTW msije mkaanza kulia ati ooh..ati eeh).

Mko chini bana! Mko chini sana, ndugu! View attachment 804273View attachment 804274View attachment 804275
Engineer nilitegemea uweke energy kwa upande wa Tanzania nashangaa unaleta habar Za paved road tena outdated 2014...jaribu kutuliza munkari..
Zingatia mada iliopo mezani wacha ku jump bila muelekeo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa wasanii wao, wanabiashara wa Tanzania wrote wanahamia Nairobi watu kutoka Nigeria, Congo, Somalia, Sudan, Uganda,hadi Ethiopia wote hukimbilia Nairobi as if ni UK Wamejaza Jiji LA Nairobi.... if a student in South Africa can be referred to USIU Nairobi then truly Nairobi ndio Jiji kuuu
People love places of freedom and expression and you can only find this in Nairobi not Dar
leta evidence kama huna peleka hii habari kwenye vijiwe vya kahawa😀😀😀😀😀
 
Haha haya basi. Ndio hizi facts on your face!!

TZ btw mnatambua nuclear power ni nini? By 2030 mtautambua kupitia Kenya. (This was just a BTW msije mkaanza kulia ati ooh..ati eeh).

Mko chini bana! Mko chini sana, ndugu! View attachment 804273View attachment 804274View attachment 804275
😀😀😀wewe umekomaa kabisa kiakili unazungumzia habari za 2030 leo kweli!!

acha tz iwasumbue vichwa,hiyo ni mkakati wa 2022 hapa tz,si una taarifa uranium tuko nayo cubic kadhaa ama hujui😀😀,unapiga makelele tu.
 
Naamini kabisa ulielimika,Phase 1 ni internal source zimetumika $1.2 bln lakini iyo reli inatakiwa ifike mwanza...Dar -Mwanza ni km 1000+ so maana ya turn to world bank ni kwamba hatuwezi finance the whole project wenyewe...bado uchumi wetu haujakomaa lakini tumejaribu kuanza safari ndio maana tunaomba nguvu tuendelee...
Nyie ambao hamkutoa hata sh 10 kwenye SGR yenu Mnatoa wapi nguvu ya kutunyooshea kidole?
sio only phase one na phase two ni internal source hawa watalia kilio cha mbwa koko😀😀😀😀
 
Engineer nilitegemea uweke energy kwa upande wa Tanzania nashangaa unaleta habar Za paved road tena outdated 2014...jaribu kutuliza munkari..
Zingatia mada iliopo mezani wacha ku jump bila muelekeo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
huyo anapata tabu sana anahangaika sana yani tanzania inamnyima usingizi😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom