concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Kutype hivi vyote just so you can defend a foolish argument? So you want to say a chips seller in Dodoma saves kes 62,500 Minimum after all deductions and household expenses! Ile TZ moja tunaijua ama kuna branch ingine? Hebu nikukbushe Per capita yenu tena😅
Elimu yako ni levele gani? Unaelewa maana ya miscellaneous expenses? Nimekuwa major cost ya kupika chips ambazo ni umeme,viazi , mafuta, kachumbari basi kwanza nikuongezee na kumenya na kukata ambayo kwa ndogo ya 10 kg ni 500 . Hizo major costs
Ukijumlisha zote plus profit range ya 500 bado kuna remaining balance ya 700 ambayo miscellaneous . I mean costs zote ambazo haziko reflected na nyingine ni variable na bado haziwezi fika hata 300.
Hiyo 500 ni profit baada ya expenses zote ikiwemo na salary yako .
Kuuza plates 150 za chips ni normal sana ila shida yenu mnafanya biashara kwa kufikiria business plan.
Letsay wewe leta major cost ambayo haiko included hapo..
Sisi kazi yetu ni kuwaelimisha tunajua mko nyuma sana kifikra