Uwe unaelewa nimekuambia kg moja Inaweza toa 2 plates ila kwenye hesabu yetu nimekuwekea kiwango Cha chini Cha 150 plates sababu kuna Kila mtu anakipimo chake ila hawez pima akakosa 150 plates . Mimi nimekuwekea minimum plates per sack sasa wewe Fanya hesabu zako.
Kwenye biashara hutakiwi kuweka the maximum bali chukua minimum Ile highest cost ya everything ili inapotpkea kuna variance isicheze mbali na uhalisia.
Na ndo maana hata plate price umewekewa 2000 tsh/ plate ila kuna ayeuza mpaka 3000 na kuna anayepima vipimo vidogo mpaka vya 500 tsh ila lazima itakuja kubalance zaid ya hiyo 2000tsh
Na hakuna sehem imetajwa gunia ya kg 200 bali kg 100 Tanzania hatupangi mazao kwa above 100 kg
View attachment 3639336
Ebu nitafutie gunia moja la 200kg hapo🤣🤣🤣