you will be fine, wewe sio kwa kwanza kutaka kujiuaNi wewe tunakopa? 😂😂
Uganda inawapita tu mkisema Kenya inakopa. Bongolala nyinyi
Source fund of nyota fund ni mkopo kutoka world bank na serikali kuuKenya pesa yetu ni mrefu. Sisi apana LDC. We can walk and chew gum.
Tunajenga na bado tunakopesha na kupatia vijana za biashara.
Nyinyi fanyeni pale uwezo wenu umefika.
Ata as usual, Kenya is offering 3 times more to its youth than Bongolala.
View attachment 3639381
Ata Nairobi unaweza jenga design yenye unataka.Kumbe ni heri sisi tunajenga design tunazotaka. Mtaa mmoja unakuta nyumba zina design 50+ tofauti tofauti vile inafaa
Tatizo Kenya wananchi wenu wengi wanakaa kwenye nyumba mbayaAta Nairobi unaweza jenga design yenye unataka.
There are just as many unregulated estates.
Lakini kama ni wewe umejipeleka to a gated community, unajenga chenye umepata.
Sasa si ndo maana mnazidi kuwa na burden sababu mnaifanya jamii yenu kutokuwa productive bali dependants wa serikali.It's a monthly tax kama any other tax.
Zote ni pesa zetu.
Imetupita kivipi ? Kwakuwa na budget ambayo 70 % unategemea mikopo🤣🤣🤣🤣Ni wewe tunakopa? 😂😂
Uganda inawapita tu mkisema Kenya inakopa. Bongolala nyinyi
Source fund of nyota fund ni mkopo kutoka world bank na serikali kuu
Versus Tanzania ambayo source of funds ni owns source revenue from councils hakuna mkopo kutoka popote ,
Nyinyi mnazid kuongeza deni wakati tz haipngezi deni ila inatengeneza ajira View attachment 3639391View attachment 3639393
Umeona tofauti hapo.
Yaan unajisifia kumkopesha mtu 50,000 ambayo hawez hata kununua pilipiki ili afanyie biashara ? Hivi unajua tz kuna vikundi watu wanakopeshwa mpaka pilipiki au machinery kwa ajili ya production.
Hujioni kuwa wewe ni mjinga kulinganisha mikopo ya Tanzania ambayo Iko based on projects with projected impact tofauti na yenu ambayo inatamfanya aendelee kuwa maskini sababu haina hata mpango wowote wa kumsaidia raia
Kwanza jiulize KRA na TRA zinaokota revenue ngapi annually.Imetupita kivipi ? Kwakuwa na budget ambayo 70 % unategemea mikopo🤣🤣🤣🤣
Madame mbna unaenda kinyume na budget yenu while it clearly says its funded by loans in which 50% of it will be used to pay loans 😂😂Tangu lini ukaskia World Bank ni bure? Pesa yetu ndio italipa, na World Bank tumewalipa miaka mingi haitakuwa mara ya kwanza.
Pesa ya GOK from all sources inaingia kikapu kimoja. Kutoka hapo it's disbursed to all programs in the budget.
Maybe ni mimi sielewe economy yenu ya madafu, lakini kupatia mtu $190 pesa ya bishara, ni kazi gani anaweza fanya other than kuuza makaa ama kunywa chang'aa?
Wewe unajishughulisha kuhusu Kenya ambayo tunapeana 3 times that.
very simple, how much is TRA spending to pay Loans vs the same for KRAKwanza jiulize KRA na TRA zinaokota revenue ngapi annually.
Alafu utaona kwanini nyinyi LDC bongolala hamqualify kupewa loans kiwango fulani.
Ata muuzaji duka kupewa loan na benki kulingana na cashflow.
When did you pay Buda , unajua sisi ni Sheria kabisa na imekuwa operation for more than 10 years imagine 75mil usd *6 = 450mil usd wakati nyinyi mlikopa 225 mil only hapo bado kuongeza riba , mtakufa kwa madeni nyinyi kunguni.Tangu lini ukaskia World Bank ni bure? Pesa yetu ndio italipa, na World Bank tumewalipa miaka mingi haitakuwa mara ya kwanza.
Pesa ya GOK from all sources inaingia kikapu kimoja. Kutoka hapo it's disbursed to all programs in the budget.
Maybe ni mimi sielewe economy yenu ya madafu, lakini kupatia mtu $190 pesa ya bishara, ni kazi gani anaweza fanya other than kuuza makaa ama kunywa chang'aa?
Wewe unajishughulisha kuhusu Kenya ambayo tunapeana 3 times that.