stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,641
Yani huko Nothern Kenya ukienda umasikini unauona kwa macho kabisa, unaweza ukaushika na kupiga nao picha. People are suffering 🥲kuna sehem ata ruto akiulizwa anaweza sema hayuko sure kama ni kenya 😂 😂
BTW wamezoea kuishi nao, no wonder they never get quality thingsYani huko Nothern Kenya ukienda umasikini unauona kwa macho kabisa, unaweza ukaushika na kupiga nao picha. People are suffering 🥲
but Teargass alikua offline mwezi mzima, ama yeye anaishi wap
View: https://x.com/sholard_mancity/status/2082518919538254050?s=20
Kibera ni slum no 3 duniani,nyie maku wachafu,hapo bado mmezungukwa na slums kila eneo,kwa mfano ile pipeline ni slum ya kujitakia,majengo mazuri ila uchafu kama woteUsidanganywe na Kibera.
One acre of slum residents wanatoshea 1 or 2 apartment blocks. That will be solved in 5 -10 years.
And many of those slums are on public land. So the slumlords build temporary mabati houses knowing they'll be demolished any time.
Nobody builds a cheap private home in Nairobi. Land prices do not allow.
Yes, people build ugly houses all the time, but they are ugly expensive houses.
"Nyumba mbaya" utapata slums ama huko rural areas.
Siku yake nenda lamu,huko kuna umaskini wa kutishaYani huko Nothern Kenya ukienda umasikini unauona kwa macho kabisa, unaweza ukaushika na kupiga nao picha. People are suffering 🥲
wote wako offline wamekatiwa umeme 😂 😂Meanwhile in Mbeya right now
View attachment 3639537
Meanwhile in Mbeya right now
View attachment 3639537
wakubwa wakiwa wanaongea wengine mnakaa kimya
View: https://x.com/mfa_tanzania/status/2082485145068511242?s=20
View attachment 3639530
Kwa sisi wa jiji la marathoni mpaka tunamlaumu tanesco kwanini hawazimi umeme, tunataka tuone Radha ya kutongozana gizani, huwa tunakaa mpaka miezi sita bila hata kublinkwote wako offline wamekatiwa umeme 😂 😂
saaahv mpaka wanakera 😂 😂 yaani kuna mda unakosa cha kufanya na umeme unasema ebu kateni basi alafu ndo kwanza unaskia wako site kwenye ile transmission ya chalinzeKwa sisi wa jiji la marathoni mpaka tunamlaumu tanesco kwanini hawazimi umeme, tunataka tuone Radha ya kutongozana gizani, huwa tunakaa mpaka miezi sita bila hata kublink
saaahv mpaka wanakera 😂 😂 yaani kuna mda unakosa cha kufanya na umeme unasema ebu kateni basi alafu ndo kwanza unaskia wako site kwenye ile transmission ya chalinze
Si ndo maaana budget yao wamesema watakopa kulipa madeniUnakuwa na trade deficit ya mara mbili halafu unabaki kujidanganya kuwa currency yako ni superior kuliko zingine 🤣🤣🤣
Lazima uingie madeni kwa ajili kustanilize forex yako.
Ukiacha iwe determined na market fluctuation baada ya muda utajikuta inadondoka mazima na maisha ya raia yanageuka shuruba
Ndo kwanza wanaongeza wire umeme utoke nyerere dam mpaka darTanesco waachage ujinga wawe wanatuzimia mara moja moja