😂😂😂 huu umeendika hapa ni upuuzi uliosoma kwenye makaratasi ambao ni tofauti na uhalisia wa ground, tena kwa mazingira ya Tz ndio usingetia hata neno.. biashara kubwa ya chakula Bongo ni chipsi mayai, kuku (hii ni Tanzania nzima ukitaka kupiga pesa nyingi fungua banda la chipsi) . Bila shaka ndio biashara ambayo hailazi mzigo ndaani.
Shida yenu nyie mafala mnajaribu kulinganisha mazingira yenu ya ufanyaji biashara na ya kwetu..
Kuhusu gharama za uendesheji unafaa ujue kwamba viazi vinazalishwa kwa wingi Tz na kuna masoko ya mazao karibu kila mtaa, achana na masoko kuna magenge ya jumla karibu kila kona kwa mfano apa Dar, usafirishaji upi sasa unaozungumzia.? 😂😂😂
Binafsi mimi nasafirisha Mbuzi kutoka Kondoa dodoma kwa 3000 - 4000 from Kondoa to Pugu Dar es Salaam. 😂 mbuzi niliemnunua maximum 80k - 150k Tzs.
Vipi viazi vinavyouzwa mtaa wa pili kutoka eneo la biashara la muuza chipsi itamgharimu sh ngapi.? Tz nowadays biashara karibu zote in Dar for instance ni free delivery. 😂😂😂.
Yooo haujui chochote kuhusu bongo na biashara zinavyooendeshwa kaa kimya, au nitafute nikupe tips how you can make an easy money in Tz and take them to Kunyarenda kama unao mtaji wa kutosha.