stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,234
- 33,821
Vision 2050 ni uchumi wa $1TrillionBaada ya miaka miwili exports za Tanzania zitakuwa twice zile za Kenya.
Tanzania lazima itafikia 25bil usd ila hawa wenzetu wamestick kwenye hiyo 13 almost kwa miaka miwili sasa