Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda most government employees bado wanajishughulisha na hizi business ndogo ndogo hapo umepewa mfano tu wa chips kama mfano , vipi nikikupeleka kwenye kitimoto and the like au vipi nikikupeleka kwa waalimu wa primary walioko vijijini ambao wanamilikia au wanalima mpaka 30 acres za cashewnut au wale wa njombe wenye mashamba makubwa ya mbao.
Hivi huwa hamjiulizi kwani tanzanians wanapenda kujenga nyumba zao wenyewe ? Kwa sababu wanapata hela sana
Na sio Kila mtu lazima afanye biashara au awe muuza chips ila fursa na watu wako serious na business.
Yaan mnababaaikabna gunia moja wakati watu wanaauza mpaka 10 sacks per days za chips au 1500 plates per day na wako barabaraani tu🤣🤣🤣🤣
But here, you were not talking of a government employee who frys chips as a sidehustle. You were talking about someone whose main hustle is frying chips. Unadhani utatubeba ufala kama hao mabongolala wenzako?🤣🤣🤣
You're dumber than I thought if you think a roadside vendor can sell 10 sacks of chips a day. You clearly have the brains of a Koala bear.
 
Most of these people have never done any business. Nimeona Amarii the liker pia anaongea mambo zingine hazielewi😂
Wewe huoni Konkodile ananiambia a roadside vendor anauza 10 sacks of potatoes worth of chips per day? These guys have zero mathematics knowledge. Does he even know many people it takes just to chop 10 sacks of potatoes into chips? These people have never done business. 🤣 🤣
 
He's not doing guess work, he clearly has never run a business. That is how people who have never run businesses reason and that's how anyone thinks before they actually start running a business. Ukishaingia ndio utajua. Nikijaribu kumpa tu mifano.
1. You could buy a sack of potatoes and it all spoils before you turn it into chips.
2. Not everyday will you sell everything, potatoes are perishable. Everytime you don't sell everything translates into a loss.
3. He completely ignored expenses such as transportation, licenses, water etc from his calculation.
4. Weather - you can't fry and sell chips on a rainy day in an open air scenario
5. Competition
6. Price fluctuation
7. Personal issues.
The list is just too long and even still, if by some miracle you manage to regularly make the 62k, it's that really an amount that can build you a mansion? Watu waache mchezo buana. 62k ukitumia vizuri saana you can save 20k in a month for a family man - that is you living a modest lifestyle. How is 20k a month going to build you a mansion?

Ananikumbusha nikiwa campus nikipiga hesabu za kuanzisha retail shop. My calculation brought me to at least 3k per day. Ville nilianzisha hiyo biz I realized I was struggling to even pay rent. It's called naivety.
😂😂😂 huu umeendika hapa ni upuuzi uliosoma kwenye makaratasi ambao ni tofauti na uhalisia wa ground, tena kwa mazingira ya Tz ndio usingetia hata neno.. biashara kubwa ya chakula Bongo ni chipsi mayai, kuku (hii ni Tanzania nzima ukitaka kupiga pesa nyingi fungua banda la chipsi) . Bila shaka ndio biashara ambayo hailazi mzigo ndaani.

Shida yenu nyie mafala mnajaribu kulinganisha mazingira yenu ya ufanyaji biashara na ya kwetu..

Kuhusu gharama za uendesheji unafaa ujue kwamba viazi vinazalishwa kwa wingi Tz na kuna masoko ya mazao karibu kila mtaa, achana na masoko kuna magenge ya jumla karibu kila kona kwa mfano apa Dar, usafirishaji upi sasa unaozungumzia.? 😂😂😂

Binafsi mimi nasafirisha Mbuzi kutoka Kondoa dodoma kwa 3000 - 4000 from Kondoa to Pugu Dar es Salaam. 😂 mbuzi niliemnunua maximum 80k - 150k Tzs.

Vipi viazi vinavyouzwa mtaa wa pili kutoka eneo la biashara la muuza chipsi itamgharimu sh ngapi.? Tz nowadays biashara karibu zote in Dar for instance ni free delivery. 😂😂😂.

Yooo haujui chochote kuhusu bongo na biashara zinavyooendeshwa kaa kimya, au nitafute nikupe tips how you can make an easy money in Tz and take them to Kunyarenda kama unao mtaji wa kutosha.
 
But here, you were not talking of a government employee who frys chips as a sidehustle. You were talking about someone whose main hustle is frying chips. Unadhani utatubeba ufala kama hao mabongolala wenzako?🤣🤣🤣
Government employee kama mwalimu bado Wana side hustle kibao na sababu wanakopesheka ni ngumu kuwakuta kwenye business za chips ila utawakuta kwenye kilimo , maduka na kadhalika , ni wachache sana ambao wamebweteka .
Hiyo ya chips umepewa kama example kuwa hata mtu wa chips anauwezo na wanajenga majumban yenye dhamani kubwa kuliko kwenda kukaa kwenye nyumba za kujibanana kama zenu.
Kitu inachotakiwa ujue most business unaziona hasa ndogondogo kama hardware na kadhalika na employees
 
Buda wengine ndo kazi zetu hizi Mimi sio mtegemea mshahara kama wewe,
Niliwahi kukupa challenge ya business licence tu ukashindwa toa 🤣🤣🤣🤣
Wewe huna biashara, last time we had this discussion you borrowed a picture from someone to prove a point. By the way hiyo challenge was yours, hadi wa Leo I'm still waiting for your business license.

For me I earn salary and I also do business. I have several sources of income unlike lazybone like you who doesn't have anything.
 
Building ya 20 floors hawawezi hesabu yet nilipost jana apartment ya 32 floors akarespond na apartment yenye hata haifiki 8 floors. Yani 8 floors wanazijua lakini 20 floors is where they draw the line.😂😂😂
These people are very funny. Instead of just accepting that they don't have them hao bado wanaenda zigzag😂😂
 
But here, you were not talking of a government employee who frys chips as a sidehustle. You were talking about someone whose main hustle is frying chips. Unadhani utatubeba ufala kama hao mabongolala wenzako?🤣🤣🤣
You're dumber than I thought if you think a roadside vendor can sell 10 sacks of chips a day. You clearly have the brains of a Koala bear.
😂😂😂
 
Halafu most of the time huwa unajaribu kuyakataa maneno yako unayoropoka , same as yesterday uliposema middle income earners Kenya Wana weza afford nyumba ya 179,000 usd
 
But here, you were not talking of a government employee who frys chips as a sidehustle. You were talking about someone whose main hustle is frying chips. Unadhani utatubeba ufala kama hao mabongolala wenzako?🤣🤣🤣
You're dumber than I thought if you think a roadside vendor can sell 10 sacks of chips a day. You clearly have the brains of a Koala bear.
Amesema 1kg inatoa sahani mbili, meaning one sac is 200 plates. A roadside vendor can't sell 200 plates a day.
 
😂😂😂 huu umeendika hapa ni upuuzi uliosoma kwenye makaratasi ambao ni tofauti na uhalisia wa ground, tena kwa mazingira ya Tz ndio usingetia hata neno.. biashara kubwa ya chakula Bongo ni chipsi mayai, kuku (hii ni Tanzania nzima ukitaka kupiga pesa nyingi fungua banda la chipsi) . Bila shaka ndio biashara ambayo hailazi mzigo ndaani.
Yet Majority of Tanzanians are still poor. If a chips vendor can make Ksh62k, then why are most Tanzanians still poor?
 
😂😂😂 huu umeendika hapa ni upuuzi uliosoma kwenye makaratasi ambao ni tofauti na uhalisia wa ground, tena kwa mazingira ya Tz ndio usingetia hata neno.. biashara kubwa ya chakula Bongo ni chipsi mayai, kuku (hii ni Tanzania nzima ukitaka kupiga pesa nyingi fungua banda la chipsi) . Bila shaka ndio biashara ambayo hailazi mzigo ndaani.

Shida yenu nyie mafala mnajaribu kulinganisha mazingira yenu ya ufanyaji biashara na ya kwetu..

Kuhusu gharama za uendesheji unafaa ujue kwamba viazi vinazalishwa kwa wingi Tz na kuna masoko ya mazao karibu kila mtaa, achana na masoko kuna magenge ya jumla karibu kila kona kwa mfano apa Dar, usafirishaji upi sasa unaozungumzia.? 😂😂😂

Binafsi mimi nasafirisha Mbuzi kutoka Kondoa dodoma kwa 3000 - 4000 from Kondoa to Pugu Dar es Salaam. 😂 mbuzi niliemnunua maximum 80k - 150k Tzs.

Vipi viazi vinavyouzwa mtaa wa pili kutoka eneo la biashara la muuza chipsi itamgharimu sh ngapi.? Tz nowadays biashara karibu zote in Dar for instance ni free delivery. 😂😂😂.

Yooo haujui chochote kuhusu bongo na biashara zinavyooendeshwa kaa kimya, au nitafute nikupe tips how you can make an easy money in Tz and take them to Kunyarenda kama unao mtaji wa kutosha.
Muache naona wanaweka mpaka price fluctuation na usafiri kwa chips mayai , nani aliwaambia muuza chips anaenda sokoni kununua viazi,
Kuna watu wa kuuza viazi wanafanya delivery wenyewe wa mafuta mpaka wauza pumba kwa ajili ya kuchomea chips wanafanya delivery wenyewe .
More than mtu umemuwekea mpaka miscellaneous cost per plate baada ya majors costs ambazo ni umeme, viazi, mafuta na kachumbari tu.
Hakuna gharama zaidi ya hapo.
Price fluctuation nani aliwaambia chips bei huwa inapanda na kushuka?🤣🤣🤣🤣
Shida wajiona wasomi halafu ni empty headed
 
😂😂😂 huu umeendika hapa ni upuuzi uliosoma kwenye makaratasi ambao ni tofauti na uhalisia wa ground, tena kwa mazingira ya Tz ndio usingetia hata neno.. biashara kubwa ya chakula Bongo ni chipsi mayai, kuku (hii ni Tanzania nzima ukitaka kupiga pesa nyingi fungua banda la chipsi) . Bila shaka ndio biashara ambayo hailazi mzigo ndaani.

Shida yenu nyie mafala mnajaribu kulinganisha mazingira yenu ya ufanyaji biashara na ya kwetu..

Kuhusu gharama za uendesheji unafaa ujue kwamba viazi vinazalishwa kwa wingi Tz na kuna masoko ya mazao karibu kila mtaa, achana na masoko kuna magenge ya jumla karibu kila kona kwa mfano apa Dar, usafirishaji upi sasa unaozungumzia.? 😂😂😂

Binafsi mimi nasafirisha Mbuzi kutoka Kondoa dodoma kwa 3000 - 4000 from Kondoa to Pugu Dar es Salaam. 😂 mbuzi niliemnunua maximum 80k - 150k Tzs.

Vipi viazi vinavyouzwa mtaa wa pili kutoka eneo la biashara la muuza chipsi itamgharimu sh ngapi.? Tz nowadays biashara karibu zote in Dar for instance ni free delivery. 😂😂😂.

Yooo haujui chochote kuhusu bongo na biashara zinavyooendeshwa kaa kimya, au nitafute nikupe tips how you can make an easy money in Tz and take them to Kunyarenda kama unao mtaji wa kutosha.
Samaboy.
I have been to Tanzania, not once, not twice.
You've never been to Kenya.
I understand Tanzania more than you understand Kenya.
If my judgement of Tanzania is wrong by a half, your judgement of Kenya would be wrong by over 98%.
 
Muache naona wanaweka mpaka price fluctuation na usafiri kwa chips mayai , nani aliwaambia muuza chips anaenda sokoni kununua viazi,
You didn't factor in expense when you made that stupid claim. You don't know anything about business.
 
Samaboy.
I have been to Tanzania, not once, not twice.
You've never been to Kenya.
I understand Tanzania more than you understand Kenya.
If my judgement of Tanzania is wrong by a half, your judgement of Kenya would be wrong by over 98%.
Amesema anauza mbuzi, juzi alituambia anafanya importation ya masimu. Kesho atakuwa anauza magari.

These people doesn't know anything in business.🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom