IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,541
- 9,895
Thank you for the transparency, mwenzako stakehigh anatupostia hapa a public auction kama kwamba ni kitu kigeni kwetu, different ministries and departments announce public open bids all the time.. kumbe umethibitisha kuwa ni kigeni kule kwenu..Huku kwetu majizi huwa yanajiuzia yenyewe kimya kimya. Gari nzuri kabisa mtu anajiuzia Tzs 3m. Nyingine wanazi abandon deliberately ili baadae wajiuzie.