ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,355
- 88,446
Kila mtu ananijua hapa JF sina tabia ya kubishana na vijaa. But kwa lengo la wasomaji ngoja niweze kuchambua ki undani zaidi.Kilimani is taller and bigger than this and it’s just one of many such neighborhoods in Nairobi … facts!
picha za konza zikiwa na gorofa zaidi ya mbili huna ila screenshot za news unazo, btw nlikwambia uende ukamwagilie uwanja uleshauri yako, Si unajua after AFCON stadiums zenu zinakuaje? yasije yakawa tena yale evertone anacheza na mathare united mnakosa uwanja mnakuja tena tz, saaahv tushasema kila mtu kivyakeTunakujua sana ..🤪…. Anyways, another day another opportunity for Bongo to eat of Kenya’s plate…🤣🤣
View attachment 3605287
yaaani mpaka ishaanza kua news, sasa ikitokea green kidogo tu news 🤣Tunakujua sana ..🤪…. Anyways, another day another opportunity for Bongo to eat of Kenya’s plate…🤣🤣
View attachment 3605287
Kama kariakoo ingejengwa kwa kuachia nafasi kubwa kati ya Jengo jengo, idadi ya gorofa zilizopo kariakoo zinatoshana na CBD zao zote tatu combined.Kila mtu ananijua hapa JF sina tabia ya kubishana na vijaa. But kwa lengo la wasomaji ngoja niweze kuchambua ki undani zaidi.
Unataka umdanganye nani? Hii hapa tena nimewapendelea high quality ya Kilimani na kwa mbali kabisa juu huko tunaona CBD.
Kilimani too many Empty space
View attachment 3605312
This is Dar es salaam Part of West Upanga
View attachment 3605314