Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua ndugu zetu Teargass mwaiofhawaii Nicxie nairobae nyangau mkenya kennedy0000 NairobiWalker hili jambo haliwahusu, lakini ni muhimu mkajua.
Bagamoyo Special Economic Zone is real, ngoja niwaambie uwekezaji unaoendelea kwa sasa na ujenzi unaenda kwa kasi sana.

1. SINOVEST kutoka China inajenga mradi wa viwanda wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 10 (Kiwanda cha nguo na kutumia pamba kutoka hapa nchini)

2. kampuni ya HWTZ, tanzu ya HONGWANG Group ya China ( inaendelea na ujenzi wa Eneo la Viwanda la Kisasa lenye ukubwa wa hekta 500 ndani ya mradi wa Bagamoyo Eco Marine City (BEMC)), Mradi huu wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.5 unatarajiwa kuvutia uwekezaji wa jumla wa zaidi ya dola za Marekani bilioni 3 kutoka kwa zaidi ya kampuni na wawekezaji 150 watakaofanya shughuli zao ndani ya eneo hilo. Aidha, unatarajiwa kuzalisha zaidi ya ajira 5,000 za moja kwa moja kwa vijana wa Tanzania.

3. Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd inayomilikiwa na MSC ndiyo inayofanya Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu kubwa lengo ni kuwa na gati 28

View attachment 3604804

View attachment 3604806

View attachment 3604810

We're building a bigger SEZ in Naivasha. 6000 acres.
20 investors on site. 1 already operational.
Whatever bongolala is doing, Kenya started it years ago. Whatever bongolala has, Kenya has more 😂
 
We're building a bigger SEZ in Naivasha. 6000 acres.
20 investors on site. 1 already operational.
Whatever bongolala is doing, Kenya started it years ago. Whatever bongolala has, Kenya has more 😂
Watu hapa jukwaani wanakucheka chini chini. Na nimekutana na mkenya chooni anakucheka.
Wewe unaongelea 6,000 acres wakati Bagamoyo SEZ (Tanzania) ni 22,239 Acres, ipo direct kwenye port of Mbegani Deep-Sea Port na inaendelea kujengwa sasa, Investment ya port hiyo ni $2.1 Billion USD

Total project master plan ya Naivasha SEZ ni $1.5 Billion wakati Bagamoyo Special Economic Zone ni $10 Billion+

Hii inadhihirisha kuwa wakenya mnakurupuka kujibu badala ya kufanya kwanza reseach na uje hapa ujibu kwa heshima. But pole maana tatizo siyo lako ni la wakoloni namna walivyobeba akili yenu na kuifungia kwenye makubusho huko ulaya.
 
Teargass and Nicxie mtatupa mrejesho asubui mauzo yameendaje, make sure unakuja na records kamili ili tujue budget ya dawa mwaka huu itakua kiasi gan kutokana na mauzo ya mashuka

View: https://x.com/Kenyans/status/2064208605562249701?s=20

Naona umepeperusha hii news sana I don’t know what you think it means.. huko bongo serikali haifanyangi auctions? Auctions huku ni kila mwaka kilaza.
Sijui hata kama umefungua hio article angalau ujue unachopost hapa daily?

Manze vitu kama hivi vinafanya nigundue Kumbe shule ni muhimu kweli..
IMG_0851.jpeg
 
Watu hapa jukwaani wanakucheka chini chini. Na nimekutana na mkenya chooni anakucheka.
Wewe unaongelea 6,000 acres wakati Bagamoyo SEZ (Tanzania) ni 22,239 Acres, ipo direct kwenye port of Mbegani Deep-Sea Port na inaendelea kujengwa sasa, Investment ya port hiyo ni $2.1 Billion USD

Total project master plan ya Naivasha SEZ ni $1.5 Billion wakati Bagamoyo Special Economic Zone ni $10 Billion+

Hii inadhihirisha kuwa wakenya mnakurupuka kujibu badala ya kufanya kwanza reseach na uje hapa ujibu kwa heshima. But pole maana tatizo siyo lako ni la wakoloni namna walivyobeba akili yenu na kuifungia kwenye makubusho huko ulaya.
Develop 10 acres first before mentioning 22,000.
From your 2013 masterplan, you've only gotten one investor. 😂😂
You remove the port and you're left with 3000 acres of undeveloped Bagamoyo SEZ pipe dream. 😂😂

bag.JPG
 
Kama kawaida wako nyuma kama matako.
Njoo ni muwaone hawa wakenya wanajazana ujinga. Mpaka kenya itakapopaka ukombozi wa chakula ndipo watu wake watapoanza kufikiria kwa kutumia akili. But kwa sasa watu wote wa kenya wanafikiria kwa kutumia tumbo.

Fanya kwanza research mdogo wangu kabla ya kusifia upuuzi wa kennedy0000
 
Develop 10 acres first before mentioning 22,000.
From your 2013 masterplan, you've only gotten one investor. 😂😂
You remove the port and you're left with 3000 acres of undeveloped Bagamoyo SEZ pipe dream. 😂😂

View attachment 3604940
Kama nilvyosema bwana kennedy0000 uwezo wako mdogo wa kufikiri unakufanya ujichape risasi miguuni. Nakusihii urudi darasani ujifunze masuala ya uchumi na siasa itakusaidia sana utapoikuwa mtu mzima.

Kwanza kabla ya kuongelea Bagamoyo Special Economic Zone tuambie kuhusu Konza City ambayo ilianzishwa mwaka 2008. Sasa hivi tunakimbilia mwaka wa 20 bado wimbo ni uleule.

Pili Bagamoyo Economic Special Zone ni mradi wa $10 billion+ unadhani hayo ni mauziano ya nyanya? Mradi wenu huo wa Naivasha ni mdogo sana, mtu mmoja tu hapa Tanzania anapewa na kuutekeleza, lakini mpaka sasa huko kenya unawavuja jasho.

But pole na uelewe Bagamoyo Economic Special Zone ni mradi wa $10 billion+
 
On this one, the US did this chap dirty man.. nah this ain’t okay
IMG_0853.jpeg
 
Sasa vitu vidogo tu hivi vya kujua BRT ilianza lini Tanzania vimekushinda discussions nzito utaziweza?

Kwa lengo la kuweka taarifa sawa kwa wasomaji BRT ilianza 2012, hadi leo 2026 ni miaka zaidi ya 14.
Picha iliyowekwa na hawa wenzetu ni ya 2014 kipindi cha Kikwete.

But tunawashukuru kwa TBT, Gen-Z watapata kujifunza.

But hii yote ya kujizungusha ni kuhusu picha moja ya drone ya Nairobi watu wote humu wanaisubiri.
Je, hutaki kuileta? Au ni ile tabia yenu ya mwezi mchanga?
Yani kutype hizi paragraphs zote badala ta kupost picha latest ya hio area.
Hakuna picha ama tuseme tu hakuna mabadiliko 😅😅😅
 
Kwanza kabla ya kuongelea Bagamoyo Special Economic Zone tuambie kuhusu Konza City ambayo ilianzishwa mwaka 2008. Sasa hivi tunakimbilia mwaka wa 20 bado wimbo ni uleule.
Konza city EPZ.
Coming in HOT! - Lucky DJX Jeans (Textile) industrial complex and Solar Manufacturing Complex.

15,000 - 20,000 DIRECT jobs on this complex alone when operational.

k1.JPG
k2.JPG
k3.JPG
k4.JPG
k5.JPG
k6.JPG
k7.JPG
k8.JPG
 
Back
Top Bottom