Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

On a serious note, we don't have something like Kibera,NO. We have Tandale,Buguruni but they ain't Kibera.
Unapoteza mda kuelezea kitu wanakijua, list ya slums in africa ishatoka long na kama kawa wapo wanaongoza pale both slums and cholera
 
Just stick to the topic personal life za watu we achana nazo hazikuhusu, kama umezidiwa nenda kamwagilie uwanja urudi
1781108583775.png
 
tuogope ili iweje sasa, all your trying to explain about konza tushaziona kitambo sana and we know the whole deasert has 2 buildings kama una picha yenye more than 2 buildings ilete or less unagana na Teargass mkamwagilie uwanja kwanza umekauka sana
Tunakujua sana ..🤪…. Anyways, another day another opportunity for Bongo to eat of Kenya’s plate…🤣🤣
IMG_8967.jpeg
 
Nashukuru sana ndugu IamLee kuiletea jamii picha ya kwanza ya 2009 na picha ya pili ya 2014. Tunashukuru kutukumbusha tulipotoka. Hakika Mungu ni mwema mwaka huu ni 2026 tumeshatoka huko na tumesahau. Lakini comment yako hii tulikuwa tumeisahau kuiweka kwenye jumba la makumbusho asante kwa kutuletea.

Ukiona zingine kama hizi zitume hapa nitazichukua na kuwakabidhi wataalam wa archive.

Kumbuka ukubwa wa Dar ni mara tatu ya ukubwa wa Nairobi. Na hapa ni eneo moja ambalo Nairobi inamezwa yote.

Sina wasi wasi na wewe IamLee wewe ni mwanafunzi mzuri nitaendelea kukufundisha kidogo kidogo kuhusu Dar ili ukawasimulie na wenzako hapo Kibera waache ushamba, watoke kidogo waje kutembea Tanzania.

View attachment 3605144

View attachment 3605145

View attachment 3605149
Kilimani is taller and bigger than this and it’s just one of many such neighborhoods in Nairobi … facts!
 
Back
Top Bottom