President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,527
- 94,007
Leo ninataka tuongee in details kuhusu bajeti ya hizi nchi mbili TANZANIA (TZS TRILIONI 62.3) vs KENYA (KSh TRILIONI 4.82) ni ipi bajeti itabaki ndani ya nchi na kuzunguka kwa watu wake na kuongeza ukwasi na maendeleo ya mtu mmoja mmoja?
Hii ni serious discusion yenye lengo la kujua na kutoa elimu ili tunapoendelea na mjadala huu watu wajue.
KENYA (Dola Bilioni 11.5 = KSh Trilioni 1.52)
TANZANIA
Uzalishaji ($5.4 Billion) - Kulipia manunuzi ya vifaa na mafuta toka nje ya nchi.
Deni la Nje ($1.7 Billion) - Zitatumika kwaajili ya malipo ya Deni la Taifa
Kenya
Deni la Taifa($8.5 Billion) - Zitatumika kulipia deni la Taifa
Uzalishaji ($3.0 Billion) - Kulipia manunuzi ya vifaa na mafuta toka nje ya nchi.
NB: Mpaka hapo tumeona namna ya matumizi ya pesa za kigeni zinavyotumiwa na nchi hizi mbili. Ili nisiwachoshe katika hili Comment inayofuata nitaongelea sasa pesa inayobaki ambayo haibadilishwi kwenda pesa ya kigeni inafanya nini ndani ya nchi
Teargass mwaiofhawaii IamLee nyangau mkenya nairobae nairobae Nicxie
REAL Comrade Kipepe The best 007 stakehigh Geza Ulole NairobiWalker RRONDO Magonjwa Mtambuka Traveller D Apeche alolo kennedy0000 ChoiceVariable chongchung Chill Kifaru254 Lemzy mwathadan BlietzKrieg AMARII babayao255 ndughuri msuya NDINDA concordile 101 Reborn Ktb The Icebreaker Mgagaa na Upwa game over Mpwimbe Filaria Na wengine ambao sijawa taga
Hii ni serious discusion yenye lengo la kujua na kutoa elimu ili tunapoendelea na mjadala huu watu wajue.
1. TUANGALIE KILA NCHI KIASI GANI KINABADILISHWA KUWA DOLA AU PESA NYINGINE NA KWENDA NJE
TANZANIA(Dola Bilioni 7.1 = TZS Trilioni 18.6)KENYA (Dola Bilioni 11.5 = KSh Trilioni 1.52)