Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So why you export only house helps? Mna 11 companies producing Arabic dish washers
Ni mjinga pekee atayeshangilia kuwa na kampuni chache zenye monopoly badala ya kuwa na kampuni nyingi ndogondogo zenye kuajiri watu wengi na kutengeneza ushindani.
Mfano safaricom Ina dominate soko kwa zaidi ya 60% utailinganishaje na Tanzania kwenye kampuni zaidi ya 4 na hakuna ambayo inamiliki soko zaidi ya 40% hivyo ushindani ana ajira nyingi kwa wazawa.
Ukija kwenye viwanda vya UNGA wa sembe, Kenya kuna viwanda vichache sana sana sidhani kama vinafika 100 vya UNGA wa sembe,hivyo hata ajira ni kidogo sana tofauti na Tanzania ambako hakuna kiwanda kikubwa Cha sembe kinachodominate ila vipo zaidi ya 2000 vidogo vidogo vyenye uwezo kuzalisha Tani 20 kwa siku hivyo ajira ni kubwa sana kuliko Kenya yenye viwanda vikubwa vichache, vilevile kwenye mafuta ya kula na bidha nyingine.
 
Yet AZAM dominates every sector in bongoslum. Bakhresa na MO ndio wameshikilia FMCG industry huko bongoslum while trying to compete with Kenyan and global brands which are of superior quality. Lakini mbona uite poshomill kiwanda. šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ Eti viwanda elfu mbili.
 
Ebu tuoneshe Azam maize flour Mills ilivyo dominate Tanzania? Ebu tutajie kiwanda Cha mafuta ya kula kilichodomibate Tanzania , what about telecom companies zilizodominate Tanzania .
All ni all hata angekuwa Azam or any still yet si foreign owned tofauti na Kenya ambako foreign companies ndo zimedominate🤣🤣🤣
 
Almost 200 million in revenue, this has been a very good season for the KPL. We are slowly taking back our throne.

View: https://x.com/ltn_sports/status/2062928910786982042?s=20

Bado mko nyuma sana imagine hiyo total revenue
Screenshot_20260606-140608~2.jpg

Imagine hiyo revenue yote Toka vyanzo vyote bado hazijafika hata nusu ya betway sponsorship ya simba.
Hivi unajua each club inapata 25mil ksh au 500mil tzs as media right wakati Kenya kuna clubs hata hazifikisha ksh 6mil.
🤣🤣🤣🤣🤣
Gate revenue ya 28 kwa club bingwa bado ndogo sana. Ndo maana hamuwez lipa mchezaji yoyote walau hata 3000usd
 
Kenya imezingirwa na Nchi za kipuzi sana.
Hadi ghana na ivory coast zinawashinda
Huna akili wewe, hv wewe kwa akili zako kenya inaifikia GDP ya Ethiopia? Congo hii ya mavita kila siku inaweza kuifikia tz kwenye GDP? Congo ilikuwa chini kabisa lkn baada ya kuipa USA madini tayari wameipandisha, nchi haina hata barabara huo uchumi mkubwa inautoa wapi. Waafrika wacheni kuwa wajinga na watumwa wa takwimu za wazungu, nyie wakenya mmekuwa wahanga wakubwa sn wa hz takwimu za wazungu ndiyo mana mna maisha magumu siku zote.
 
Ebu tuoneshe Azam maize flour Mills ilivyo dominate Tanzania? Ebu tutajie kiwanda Cha mafuta ya kula kilichodomibate Tanzania , what about telecom companies zilizodominate Tanzania .
All ni all hata angekuwa Azam or any still yet si foreign owned tofauti na Kenya ambako foreign companies ndo zimedominate🤣🤣🤣
Ongezea kwamba, Na hizo foreign companies zenyew zikishindwa kujiendesha zinanunuliwa na Tanzanians.
 
Hawa jamaa ni malofa kweli kweli, wenzao tumeshatoka kwenye haya manyasi ya aina hii, tupo kwenye hybrid kama ulaya, wao wamewekewa manyasi asilia kama kasarani šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£View attachment 3602036
Hawapaswi kuandaa hii michuano, watatuaibisha hawa washamba.
Stop living in the past …Kasarani stadium play surface is currently going through modernization…. Actually the entire stadium and the surroundings …. Keep yourself updated…
 
Walikua wanadai macousin wao šŸ˜€
One incident is not a conclusive picture of the entire situation involving Kenyans. Also stop projecting again… Kenya never kiss up to nobody… it’s y’all Who claim you liberated them and they love you …. ( apparently NOT)ā€¦šŸ˜†šŸ˜†
 
Back
Top Bottom