stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,499
- 39,741
give us some pure kenyan company namesTypical bongolala response.
give us some pure kenyan company namesTypical bongolala response.
A USELESS ESSAY from a KUNYANAs much as your statement is st*pid, just as you, it's meaningless.
Why don't your foreign or local companies get similar revenues.
Or do you think the revenue comes from foreigners too? (if it does, not from Tanzanians. Who are mostly omba ombas on Kenyan town streets).
Because you are a bongolala LDC. Zero spending power in Tanganyika, and even minus in your Zanzibar colony.
If you had any spending power, foreigners would be lining up to invest in bongolala. Now, you have to run to Russia for PR and hope Larry Madowo covers you on CNN after banning him for the riots.
For decades, since ujamaa, bongolalas have been fed that Kenya is owned by the white man. I see you are that moron generation that bought into that.
You are also the same generation that saw Kenya overtake you by a good margin.
The same generation that reduced the whole Dar es salaam to only compete with Nairobi suburbs like Westlands and Upper Hill.
Right now as we speak, there are hundreds of 15+ floor structures being built in Nairobi.
Whenever any building crosses that threshold in Dar slum, it makes headlines here. Shame on you! 😂😂
Sijui unaongea vitu gani.? Au unajaribu kukwepa mada.? 😂😂😂 biashara za wazungu huko kenya wakishindwa kuziendesha wanatuuzia wabongo. Kundurendas wao kazi yao ni kupiga mayowe tu. Tunayo tunayo 😂😂😂Hii hasira ni ju mkona kampuni moja with 1 billlion USD revenue. 😂 😂 Enda ulilie mama yako huko Russia.
The post was very clear bongoslum ina kampuni moja with 1 billion usd revenue. Unajaribu kujiliwaza na points za kipumbavu yet the topic was very clear. Mumeshindwa hata na DRC. Next itakua Uganda na Rwanda. 😂 😂 😂Sijui unaongea vitu gani.? Au unajaribu kukwepa mada.? 😂😂😂 biashara za wazungu huko kenya wakishindwa kuziendesha wanatuuzia wabongo. Kundurendas wao kazi yao ni kupiga mayowe tu. Tunayo tunayo 😂😂😂
Unakimbia mada.? 😂😂😂 kuhusu kampuni za Tz kuwa na revenue za $1 billion tulishajadili sana humu na haipo siku mliowahi kushinda mjadala. Na namba za uongo za kiosk kuwa na 1 billion dollars 😂😂😂The post was very clear bongoslum ina kampuni moja with 1 billion usd revenue. Unajaribu kujiliwaza na points za kipumbavu yet the topic was very clear. Mumeshindwa hata na DRC. Next itakua Uganda na Rwanda. 😂 😂 😂
Unajaribu kujianzishia mada yako ya ufala baada ya kuona bongoslum ina kampuni moja with 1 billion usd revenue. Mbilikimo hata ujaribu kuanza mada yako ya kipumbavu hio haitaongeza kampuni kutoka kwa moja zikue mbili.Unakimbia mada.? 😂😂😂
Tanzania has her own supermarkets growing too!😂 😂 Yet the market remains supreme. Ulidhani zingine hazitakuja nowonder you are dwelling in the past.
I thought you don't shop in supermarkets. 😂 😂 😂Tanzania has her own supermarkets growing too!
😁 bongolala hate rants are pointless entertainment,Wangefinya viti kama walivyofanya ile maku ya Arusha this stadium could comfortably fit 70,000 seats
Ni mjinga pekee atayeshangilia kuwa na kampuni chache zenye monopoly badala ya kuwa na kampuni nyingi ndogondogo zenye kuajiri watu wengi na kutengeneza ushindani.So why you export only house helps? Mna 11 companies producing Arabic dish washers
Yet AZAM dominates every sector in bongoslum. Bakhresa na MO ndio wameshikilia FMCG industry huko bongoslum while trying to compete with Kenyan and global brands which are of superior quality. Lakini mbona uite poshomill kiwanda. 😂 😂 😂 Eti viwanda elfu mbili.Ni mjinga pekee atayeshangilia kuwa na kampuni chache zenye monopoly badala ya kuwa na kampuni nyingi ndogondogo zenye kuajiri watu wengi na kutengeneza ushindani.
Mfano safaricom Ina dominate soko kwa zaidi ya 60% utailinganishaje na Tanzania kwenye kampuni zaidi ya 4 na hakuna ambayo inamiliki soko zaidi ya 40% hivyo ushindani ana ajira nyingi kwa wazawa.
Ukija kwenye viwanda vya UNGA wa sembe, Kenya kuna viwanda vichache sana sana sidhani kama vinafika 100 vya UNGA wa sembe,hivyo hata ajira ni kidogo sana tofauti na Tanzania ambako hakuna kiwanda kikubwa Cha sembe kinachodominate ila vipo zaidi ya 2000 vidogo vidogo vyenye uwezo kuzalisha Tani 20 kwa siku hivyo ajira ni kubwa sana kuliko Kenya yenye viwanda vikubwa vichache, vilevile kwenye mafuta ya kula na bidha nyingine.
Ebu tuoneshe Azam maize flour Mills ilivyo dominate Tanzania? Ebu tutajie kiwanda Cha mafuta ya kula kilichodomibate Tanzania , what about telecom companies zilizodominate Tanzania .Yet AZAM dominates every sector in bongoslum. Bakhresa na MO ndio wameshikilia FMCG industry huko bongoslum while trying to compete with Kenyan and global brands which are of superior quality. Lakini mbona uite poshomill kiwanda. 😂 😂 😂 Eti viwanda elfu mbili.
Almost 200 million in revenue, this has been a very good season for the KPL. We are slowly taking back our throne.
View: https://x.com/ltn_sports/status/2062928910786982042?s=20
Huna akili wewe, hv wewe kwa akili zako kenya inaifikia GDP ya Ethiopia? Congo hii ya mavita kila siku inaweza kuifikia tz kwenye GDP? Congo ilikuwa chini kabisa lkn baada ya kuipa USA madini tayari wameipandisha, nchi haina hata barabara huo uchumi mkubwa inautoa wapi. Waafrika wacheni kuwa wajinga na watumwa wa takwimu za wazungu, nyie wakenya mmekuwa wahanga wakubwa sn wa hz takwimu za wazungu ndiyo mana mna maisha magumu siku zote.Kenya imezingirwa na Nchi za kipuzi sana.
Hadi ghana na ivory coast zinawashinda
Point yako hapa ni nn, kwamba hakuna uwanja wenye ngazi kama hzo auuu?Hamtengenezi vitu kijuakali wakati mko na na stairs in the middle of the terrace imejipinda kama mrija ya punda!🤣🤣🤣
View attachment 3602088View attachment 3602089
Washatoa zote, nafikiri napo watapiga hybrid, hayo manyasi asilia ni ya third world countries like Kenya.ya mkapa ni natural grass ila aina yake ndo skumbuki inaitwaje