Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Iko hivi:
Unapoulizwa swali jibu swali na kama ni swali mtambuka, still jibu swali kama muelewa wa swali uliloulizwa.

Angejibu, at least kwa acknowledge swali na ku confirm her comprehension ya mada.

Angejibu:
"Regarding na how tutadeal na sanctions, tumejipanga kama taifa na serikali tuna mikakati madhubuti in place ya kudeal na sanctions. Kwa sasa hatujui ni sanction za aina gani but all in all, kama nchi sio wageni wa jambo hilo na tumeshadeal sanctions huko nyuma kipindi cha ukombozi wa Africa, Tanzania ikiwa kam hub ya liberation movements zote ambazo kwa mataifa ya Magharibi hizi movements zilikuwa ni terrorist organizations, na mambo mengi makubwa zaidi kama mlivllyo shuhudia jinsi tulivyo deal na COVID-19"

Hapa hajatoa mkakati wowote walionao serikali lakini kajibu swali kama alivyoulizwa na pia kalitangaza taifa kwa uwezo wake wa kudeal na nyakati ngumu pasipo kuyumba.

Sio alivyojibu pumba: "hatuna sanctions, hatuna sanctions"
Kwani muuliza swali hajui Tanzania haina sanctions?? 🚮"

Utachukua miaka kibao kujua siasa kaka. Unakasirika bure tu bila hata sababu. Kuna mambo mengi mno ya msingi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyasema jana, kwa sababu wewe ni Maria Sarungi oriented unajikita kwenye trivial issue, Tafsiri rahisi ya hayo unayoyakuza ni wewe hujui siasa unapost vitu kwa emotions.

Sisi tutakuhurumia tu maana hujui siasa siku ukijua utajipiga kifua na kujiona namna ulivyo mjinga. Samahani lakini kwa kukuita mjinga.

Unataka Rais atoe mkakati kwenye swali ambalo likijibiwa linaleta political tension? Samia ni mwanasiasa mbobevu anajua kucheza na maneno

Wewe unataka ajibu kulingana na matakwa yako. Hilo jibu lipo sahihi kisiasa kaka. Amka kaka utoke usingizini. Tena wachambuzi nguli wa kisiasa wamekubali jibu hilo lipo sahihi mno.

NB: Tanzania haifungamani na upande wowote, ndio maana tunafanya na watu wote. Na ni kweli Tanzania hatuna sanction au alisema uongo?
 
Nakuru's new 20 floor tower rising above the city giving stunning views of Lake Nakuru. Kenyan cities have the best geographical locations
IMG_9158.jpeg
 
Back
Top Bottom