Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,919
- 5,078
Wafanya biashara wengi mombasa wanachukua mzigo kariakoo. Hata wale wa Nairobi Nguo, simu, phone accessories, electronics n.k. wanafunga kutoka town (Kariakoo).Kunyan kibao wanafunga mzigo kariakoo,hasa mikoba ya kike na viatu vya kike kwa upande wa bara huko,louis vutton fake unaziona huko ni kutoka kariakoo,vijora,madera,magodoro,sofa n.k unavyoviona mombasa ni kutoka kariakoo