Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From Inside it doesn't look like a stadium 😂😂🤣
IMG_8881.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati la atomiki (IAEA), Bw. Rafael Mariano Grossi pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA), Kigali nchini Rwanda tarehe 19 Mei, 2026. Mkutano huo wa Kimataifa unawakutanisha pia wataalamu wa nishati, wawekezaji na mashirika ya kimataifa, ambapo utajadili matumizi ya nishati ya nyuklia kwa maendeleo ya Bara la Afrika. Mkutano huo pia unalenga kujadili namna bora ya kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme Afrika, kupunguza uchafuzi wa mazingira, kusaidia maendeleo ya viwanda, kukuza ubunifu wa teknolojia za nishati ya nyuklia pamoja na kuvutia wawekezaji katika miradi ya nishati.

1779194981482.png


1779195016231.png
 
You should have known better before posting this.

"Switzerland's external (foreign) debt is significantly larger than its domestic debt, representing about 226% of GDP, whereas the broader national public debt (domestic and external combined) stands at approximately 30-40% of GDP"

External (foreign debt) is not the same as government debt. Your examples of Switzerland and Germany are not correct, because they are not governments debts alone but debts from banks, companies and other financial institutions from those countries.

Ulifaa kutuambia out of the 30-40% Switzerland's National Debt to GDP what percentage is external and what percentage is domestic? Hio ndio swali Teargass aliuliza.
Kama hujaelewa basi sisukumi punda kwenye mteremko napiga teke tuu inatosha.
 
Back
Top Bottom