ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,355
- 88,446
Kaka hii kitu ni hatari kabisa, hata ulaya nchi nyingi walikosa akili kama hz aisee, Africa hii hakuna uwanja wenye design ya kipekee kama huu, viwanja vingi vya ki Africa ni masufuria kama ule wa Rwanda au kenya au Uganda.Cheki details. 👇🏾 hakuna uwanja mzuri kuliko huu EA nzima View attachment 3590611View attachment 3590607View attachment 3590608View attachment 3590609View attachment 3590610
No problem, now tell us which position it holds in extremely poor nationsNo wonder your economy is out of top 10, wakati wengine wabasonga mbele nyinyi mnarudi nyuma
Kitu kimoja kitamu kweli kinaenda kutokea hapa, kule kasongo anajenga the largest farmers market in Bungoma akifikiri ni largest meeting facility in the region tena ni mkopo kama Talanta 😅Site visit KMICC Arusha. 👇🏾 View attachment 3590496View attachment 3590497hapo kunya renda watapata project kubwa kama hii nje ya Nairobi labda baada ya miaka 50. 😂😂
Hata Nairobi hakuna facility kama hiyoHapana ni 1000 tu. 😂😂😂. Mradi kama huo kando ya nairobi huwezi pata kenya nzima, labda baada ya 50 years.
Asee unge ambatanisha na ile picha yake. 😂😂😂Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.
That is how I see it. My opinions sio alpha and omega, they are open kuwa challenged.wacha kuropoka!
Kama uko vizuri upstairs, ungejiuliza: why Ruto, your very own president, alisema mbele za watu Tanga?Unaonaje hii story ya refinery? Tukuskize wewe ama tumskize Dangote?😃😃
We jamaa ni fala kweli yaani expressway ikintercept na barabara yoyote ni interchange tayari? 😂😂😂Shida yenu ni Ushamba🤣🤣😂.
3 out of 6 Three Level interchanges in Kenya 👇👇
View attachment 3590518
View attachment 3590519
View attachment 3590520
To grow petrochemical industries needs prevention of dumping! Ila najua Kenya ita-default! Esp. kama refinery inajengwa Tanga! They r always bitter losers!That is how I see it. My opinions sio alpha and omega, they are open kuwa challenged.
Unaweza tu kuniweka sawa kwa kushare your superior understanding ya hii issue.
Expressway 1 imezaa interchanges 10 kwa mpigo 😂😂😂3 level interchange za kulazimishia 😂😂😂😂. Kwalifupi hakuna 3 level interchange in kunyarenda.
Picha niliopost mimi hauzitaka unataka picha yako uliyoitia majivu. 😂😂😂😂 sasa ubaya ni kwamba huwezi badilisha kilichopo ground, kitu cgenye unaweza badilisha ni maneno na ubora wa picha tu. 😂😂😂
Kaka huo uwanja ni wamoto mnoo. Details zimezingatiwa.Kaka hii kitu ni hatari kabisa, hata ulaya nchi nyingi walikosa akili kama hz aisee, Africa hii hakuna uwanja wenye design ya kipekee kama huu, viwanja vingi vya ki Africa ni masufuria kama ule wa Rwanda au kenya au Uganda.
Kaka hii kitu ni hatari kabisa, hata ulaya nchi nyingi walikosa akili kama hz aisee, Africa hii hakuna uwanja wenye design ya kipekee kama huu, viwanja vingi vya ki Africa ni masufuria kama ule wa Rwanda au kenya au Uganda.
Unaskianga mambo wet dreams. That's what you are showing currently.
Hata Sisi we are soon hitting a huge gas field🤣🤣😂.
And who told you that South Sudan will connect their pipeline to Tanga and live ya Turkana to Mombasa/Lamu?🤣🤣😂