Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.