Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,536
Ukweli ni kwamba mafuta yalioko Lokichar ni madogo hayawezi kushawishi ujenzi wa pipeline au refinery!umenkumbusha mbal EACOP kuna kampuni ilipewa ianze uchimbaji na waandishi wakaenda kabisa pale na mkataba ukasainiwa 😂 😂 miaka 5 mbele wameishia kujenga vibanda vya wafanyakazi na ule mradi ukauzwa tena kwa mwingine