Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona kitu kinatangazwa sana ujue hakuna kitu

The irony ; LAMU PORT AMBAYO MLISEMA HAITAJENGWA/ WHITE ELEPHANT Ndio inayo receive hizo bidhaa wakati Bagamoyo bado iko kwenye to begin construction phase🤣🤣
IMG_4107.jpeg
IMG_4105.jpeg
🤣
IMG_4106.jpeg
 
Unataka tuongoe season ingine ya predictions zenu imbo ..
The irony ; LAMU PORT AMBAYO MLISEMA HAITAJENGWA/ WHITE ELEPHANT Ndio inayo receive hizo bidhaa wakati Bagamoyo bado iko kwenye to begin construction phase🤣🤣View attachment 3678369View attachment 3678370🤣View attachment 3678368
Huo mradi sio kama hauwezi kujengwa bali Magufuli aliukataa huo mradi kulingana na masharti yaliyowekwa na wekezaji Magufuli akakataa.
Kuna miradi mikubwa kuliko huo imefanyika na kukamilika pasi na tatizo.
 
Nyerere stiglers gorge na Bagamoyo port upi mradi mkubwa!? Unaelewa kiswahili au unajitoa ufahamu!?
Kuna miradi mikubwa kuliko huo imejengwa na imetimia kwa fedha zetu.
 
Nyerere stiglers gorge na Bagamoyo port upi mradi mkubwa!? Unaelewa kiswahili au unajitoa ufahamu!?
Kuna miradi mikubwa kuliko huo imejengwa na imetimia kwa fedha zetu.
Whatever that is, what does it have to do with bagamoyo port?🤣
Kila mwaka tangu 2013 (enzi za kikwete) ni ku announce

View: https://x.com/tanzaniadigest/status/924578991733960704?s=46

View: https://x.com/seif_tanzania/status/1575871595385860096?s=46

View: https://x.com/tanzaniainsight/status/1461353976914268163?s=46

View: https://x.com/east_facts/status/1575569081222107137?s=46

View: https://x.com/420cousin/status/1993233684917342340?s=46
 
Kijana huwa siendekezi ubishani wa kitoto endelea kubishana na utoto wako. But hiyo ndio tofauti ya TZ na Kenya huwa hatukurupuki kwenye miradi. Ndio maana hatuna failed project nyingi kama ninyi.
 
Kijana huwa siendekezi ubishani wa kitoto endelea kubishana na utoto wako. But hiyo ndio tofauti ya TZ na Kenya huwa hatukurupuki kwenye miradi. Ndio maana hatuna failed project nyingi kama ninyi.
Where are the manners for your elders?You are not even a year old in this thread, probably that’s why you aren’t aware of discussions we had about bagamoyo port here, kwanza soma hii thread yote the entire 34000 pages ndio uje tuongee at the same level.

Meanwhile; 1 Day, 2 Ports;

View: https://x.com/pesawall/status/2103699080354705805?s=46

View: https://x.com/kenyans/status/2103860196640453032?s=46
 
Such a dunderhead ety am not even 1 year old in the thread. I joined in JF since 2015 then changed the username to KOSUGI. Am the damn Kosugi you fool. Hizo thread zote unazozisemea nazijua. Na uhalisia kuhusu Bagamoyo port ndio huo. Kwa akili zako za KIPUUZI TZ wajenge stiglers gorge,watindue reli na kuweka reli mpya ya mgr tena ni CONTINOUS WELDED 900-1000kms,wajenge elctrified SGR more than 700kms Washindwe suala la bandari!??
 
Back
Top Bottom