President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,186
JUMATANO - ALHAMISI 20/05/2026 - 21/05/2026
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARAYA UJENZI
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARAYA UJENZI
Your stadium is ugly 😂😂👇👇Sasa kwa kuangalia tu hapa ni kiwanja kipi kinaonekana cha kipekee? Cha juu au hilo sufuria la chini a.k.a African design View attachment 3591218
Vipi umepata chakula leo?
Atakuwa anamaanisha hii . 😂😂😂Kovu gn mkuu, hebu weka hapa tulione, nmepitwa na mengi 🤣🤣🤣🤣
You’re just a loudmouth; you have nothing meaningful to offer.
Yani bado unabishana tena bila aibu. 😂😂😂 Today you will learn by force.Kama hujaelewa basi sisukumi punda kwenye mteremko napiga teke tuu inatosha.
umenkumbusha mbal EACOP kuna kampuni ilipewa ianze uchimbaji na waandishi wakaenda kabisa pale na mkataba ukasainiwa 😂 😂 miaka 5 mbele wameishia kujenga vibanda vya wafanyakazi na ule mradi ukauzwa tena kwa mwinginehata EACOP walifanya hivihivi wakaenda kuungana na Tullow oil! Leo hii miaka 11 baadae hamna single km of pipeline has been built!
basi uyo mwamba alivuta sana ilo panga maaana ule mstari sio wa kawaidaHuyo jamaa ni Watchman, sasa huenda alipigwa panga na wezi waliotaka kuiba ofisini kwake.
Mnatuchosha. Leteni projects kutoka kenya.
kodi yenyewe 90% inatumika kulipa deniAisee KRA haitaweza kulipa hilo deni maisha duh.
Ukweli ni kwamba mafuta yalioko Lokichar ni madogo hayawezi kushawishi ujenzi wa pipeline au refinery!umenkumbusha mbal EACOP kuna kampuni ilipewa ianze uchimbaji na waandishi wakaenda kabisa pale na mkataba ukasainiwa 😂 😂 miaka 5 mbele wameishia kujenga vibanda vya wafanyakazi na ule mradi ukauzwa tena kwa mwingine