President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,523
- 93,994
Ndiye mwathadan huyu? Naiweka picha yake kwa matumizi ya baadae“Unajipa umuhimu ambao hauna. Total ndo watakaouza hayo mafuta, nyinyi hamna say” 😂😂😂
View attachment 3587082
Ndiye mwathadan huyu? Naiweka picha yake kwa matumizi ya baadae“Unajipa umuhimu ambao hauna. Total ndo watakaouza hayo mafuta, nyinyi hamna say” 😂😂😂
View attachment 3587082
Hii mambo imewachanganya kweli kweli.Kwahivo mnataka kuwe na refinery Uganda na Tanzania? Hivi unajielewa
We did not initiate it, nor were we part of the initial discussion. Why should we be worried?Now Bongolalalas are switching on the refinery like it’s not important to them …. Hawa majamaa ni comedian s…🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wishful thinking 🤣🤣🤣M7 might regret his pipeline decision…. 😆😆
Vitu vya kawaidaSomething big is happening in Kenya, the UN is moving most of its operations to Nairobi.
View attachment 3587087
View attachment 3587086View attachment 3587085
Picha hapa inachezwa na Ruto kamuambia Dangote hawa jamaa wa TZ wamenifokea kuhusu kutangaza refinery itajengwa Tanga na hawa jamaa huwa ni wagumu sana kukubaliana na Kenya on many issues sasa wewe Tangaza itajengwa Mombasa ili waje wajishushe kidogo kwangu tupate compliance yao na pia tuwabane na commitment ya pipeline to Mombasa from Tanga. Anachoshindwa kujua Ruto Tz ni master wa diplomasia ya uchumi ukanda huu.Na Ruto ni mwongo siku zote, anajifanya kuipigie debe Tanzania mnafiki.na mikataba walioweka ni feki hakuna utekelezaji utakao fanyika.
Dangote na Kikwete hao ni Marafiki. Watajua hawajuiPicha hapa inachezwa na Ruto kamuambia Dangote hawa jamaa wa TZ wamenifokea kuhusu kutangaza refinery itajengwa Tanga na hawa jamaa huwa ni wagumu sana kukubaliana na Kenya on many issues sasa wewe Tangaza itajengwa Mombasa ili waje wajishushe kidogo kwangu tupate compliance yao na pia tuwabane na commitment ya pipeline to Mombasa from Tanga. Anachoshindwa kujua Ruto Tz ni master wa diplomasia ya uchumu ukanda huu.
Biashara si urafiki bongolala. Hii ni dola 10-15b ya uwekezaji tunaongeleaDangote na Kikwete hao ni Marafiki. Watajua hawajui
Rostam Aziz yule ni TISS - kawekwa mbele
Hujui kinachoendelea hapo hizo ni high-level tactics za ku armtwist Tanzania by Kenyans to guarantee or force Tanzania to commit to a pipeline should a refinery be built in Tanga. The last sentence is very obvious about this hatched plan, suggesting that if you want an oil refinery in Tanga, deal with Ruto so that Ruto gets what he wants from TZ in the form of agreed project terms and commitment by Tanzania to build an oil pipeline to Mombasa.Yani the guy has surrendered every decision in the hands of Ruto. Sasa ngojeni muone vile Ruto ataruka watanzania na Tanga Yao😂😂🤣
Hizo hadithi tangu miaka na miaka wakenya wanasema. Hebu tuambia project ipi mliipigia kelele na ilifanyika?Biashara si urafiki bongolala. Hii ni dola 10-15b ya uwekezaji tunaongelea
Atanunua wapi TOTAL anapeleka mafuta yote kwake they can all buy surplus oil tuu sijui kama itatosha ku feed refinery.The funny part is that Dangote might buy that crude oil from Tanga, transport it to Mombasa, refine it then transport it to Uganda again through Kenya Pipeline 😂😂🤣🤣
Picha hapa inachezwa na Ruto kamuambia Dangote hawa jamaa wa TZ wamenifokea kuhusu kutangaza refinery itajengwa Tanga na hawa jamaa huwa ni wagumu sana kukubaliana na Kenya on many issues sasa wewe Tangaza itajengwa Mombasa ili waje wajishushe kidogo kwangu tupate compliance yao na pia tuwabane na commitment ya pipeline to Mombasa from Tanga. Anachoshindwa kujua Ruto Tz ni master wa diplomasia ya uchumu ukanda huu.
Museveni ndiye kasema hivyo!Kwahivo mnataka kuwe na refinery Uganda na Tanzania? Hivi unajielewa