mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,281
- 6,710
Denial stage ….🤣🤣🤣Yaani Dangote ajenge Refinery karibu na Al Shabab 🤣🤣🤣🤣Ujenzi wa Refinery unachukua zaidi ya miaka 10. Je, kenya inaaminika? Dangote anataka kuziingiza nchi za EA zi support jambo lake.