President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,523
- 93,994
Yaani unajua Bomba la gas linaishia Dar, maana yake wajenge bomba la gas kutoka Dar mpaka mombasa.Bado wana maumivu ya kukosa Bomba la UG.. so wanatafuta namna yoyote ya ku force kufaidi.
Hapo Dangote akijenga Tanga ndio Kasongo aseme alikubali iwe hivyo umuhimu wake uonekane... Hapo ni kwamba Dangote akija ni mazungumzo Yana anza upya na terms mpya... Kama hataki arudi mombasa tu .
Na ile ishu ya gesi nadhani Haina haja ya kuiharakisha sana kuipeleka msa... Ila kama wanataka sana bhas ifanyike feasibility kwa gharama zao na ujenzi ifanyike kwa gharama zao.. TZ iwasaidie ku secure ardhi tu ya Bomba kupita na security. Haina haja ya kuweka pesa nyingi hapo wakati kuna maeneo mengine ya nchi yamahitaji gesi kama Liganga huko... Na pia kuna miradi mingi ya ndani ya kwetu kuliko kufinance Bomba hilo ambalo returns yake Haina multiplier effect kwenye uchumi wetu wa ndani
Halafu Tanzania iache kujenga bomba Kuelekea Pwan ambapo inajenga Industrial Parks za kutosha!! halafu ipeleke kwa washindani wetu!!?
Tanzania iache kujenga bomba la gas kupeleka Dodoma ipeleke Mombasa!!? Distance kutoka Dar kwenda mombasa ni karibia 600km.
Huu utakuwa ni uzwazwa.