stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,386
- 36,674
I have seen this writing here in JF. Meaning huyu amepeleka uchungu tweeter, uzuri umapatwa na Kofi nzito🤣🤣😂
View: https://x.com/i/status/2053402327915085910
kilichokufurahisha apo nn
I have seen this writing here in JF. Meaning huyu amepeleka uchungu tweeter, uzuri umapatwa na Kofi nzito🤣🤣😂
View: https://x.com/i/status/2053402327915085910
But you have been mentioning total here all along? Ama sio wewe?🤣🤣😂Who said Total is planning or we are expecting them to build a refinery in the region?
Hapana, from Dodoma.From where Hormuz strait?
Watanzania hapa jf ni vilio tu 😂. Dangote mwenyewe ndo kasema, haya endeni mumpigeDangote ndio ataamua, maana Museveni yuko tayari kuuza sehemu ya crude kwa Dangote.
Kenya hana cha ku-offer. Ni mpiga kelele tu.
Hiyo refinery, inaweza kujengwa na Uganda, TZ na Dangote bila kuhusisha Kenya.
Baada ya Kenya kupoteza EACOP, na sisi tunayo na tuna LNG amepaniki.
South Sudan aliokuwa anawategemea na wao mafuta yao wanauza kupitia Sudan.
Kwasasa anapambana na yeye kujichomeka kwenye mradi kwa kununua hizo hisa za REFINERY.
Shida kubwa wakenya wengi ni VIAZI hawaelewi zaidi ya kukaza mafuvu, tu ila viongozi wao WAMEZIDIWA.
Why, mimi naunga mkono ajenge anakotaka.Watanzania hapa jf ni vilio tu 😂. Dangote mwenyewe ndo kasema, haya endeni mumpige
Even Dangote knows Kenya is more economically superior than Bongo … his words not mine…rest assured hakuna refinery inajengwa, if not tanga then hakuna sehem ingine itajengwa and Tz itself doesnt want that refinery so ni kama mumpe votes tu thats all
Then its either the whole thing is a STUNT and no refinery was meant to be builtEven Dangote knows Kenya is more economically superior than Bongo … his words not mine…
View attachment 3586559
Now Bongolalalas are switching on the refinery like it’s not important to them …. Hawa majamaa ni comedian s…🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watanzania hapa jf ni vilio tu 😂. Dangote mwenyewe ndo kasema, haya endeni mumpige
Do you dispute Dangote’s words?….. he was your favorite investor just a day ago .. what happened????🤣🤣🤣🤣🤣Then its either the whole thing is a STUNT and no refinery was meant to be built
Na Ruto ni mwongo siku zote, anajifanya kuipigie debe Tanzania mnafiki.na mikataba walioweka ni feki hakuna utekelezaji utakao fanyika.Binafsi nisichokitaka ushirikiano na kenya,ikiwezekana wao waendelee na dangote sisi tuendelee kivyetu
The closest thing to a mother here is you .. if you know what am saying….🤪
Pamoja na unafiki wake na propaganda za media za kenya,ile refinery itajengwa tanga watake wasitake,kikubwa nisichopenda ni kushirikiana nao tu,wale ni wa kukaa nao mbali ni wanafiki mnoNa Ruto ni mwongo siku zote, anajifanya kuipigie debe Tanzania mnafiki.na mikataba walioweka ni feki hakuna utekelezaji utakao fanyika.
Talanta haitajengwa pia 🤣🤣🤣if not Tanga then that oil refinery wont be built at all
Do you remember a certain Bongolala going off for a week about how Tanzania has more vehicles and consumes more oil than Kenya… I wish I can find those posts … 😆😆Dangote amesema very clearly, one of his reasons why he prefers Mombasa, ni ju Kenya has more oil consumption and has a bigger economy. Wewe punguza emotions, Dangote didn't mention bongoslum or Uganda anywhere.