Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,025
- 107,520
i am on it currently however, remember the first day it was announced what i told you? Samia didnt act that way kwa bahati mbaya, it was intentional na pia even ruto mwenyewe kafika kwa kuchelewa, in short hakuna any serious deal apo, Pia ukisoma african insider, they claim the Refinery is import Refine Export
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/2053752830930915716?s=20
Ukimskiliza Ruto, "USE OUR RESOURCES" meanwhile Uganda walishauza hayo mafuta kwa Total energies mda mrefu for 30 Years, kiuhalisia if there was serious business then Samia angekua ashajua and TISS wangekua washapita nayo mda mrefu, However Again as i said, Its extremely unlikely Tanzania wataruhusu such an investment, not because they dont want it, but beause of MTWARA, investors wa pale wako 50/50 wako kama 18 wote kwa pamoja wanatakiwa kutoa $42B
Total wamesaini mkataba wa around 260,000 bpd wakati ile pipeline ina uwezo zaidi! tulia kuna kitu kinakuja sitaki kukisema hapa! Angalia media ya Tanzania ipo kimya! Wamepewa specific instructions! Sit and watch kimbelembele atachezwa!